squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa pia wanaume wanapenda sana kuoa ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye maamuzi ya kuoa na sio mwanamke.
Endapo wewe mwanamke uko na mpenzi wako na unataka akuoe cha kufanya ni cheza na mama yake hakikisha unakuwa mtu wa karibu na mama yake kwa kuwa rafiki yake. mama yake akikukubali, asilimia kubwa umemaliza kazi.
Muda unajizoesha kwa mama yake ni matumaini yangu baina yenu mnajuana tayari vizuri.