Nahisi Mwanamke Mmoja hajitoshi....

Nahisi Mwanamke Mmoja hajitoshi....

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,187
Kila demu ninaekutana nae, hawaendi zaidi ya round 2.
Wengine hata round ya 1 wanashindwa.

Wengine ukipiga leo, kesho hawezi tena....

Na kigezo kikubwa kwangu kwa mwanamke ni yule ambae atahimili mikiki mikiki ya kitandani....

Ninaokutana nao wengi hawakidhi vigezo vyangu.

Naweza oa wake wawili na wote waishi nyumba moja???
 
Katika kupuyanga kwangu kuanzia uswahilini na sehemu nyingine za kawaida bado sijakutana na mwanamke wa kunitoa knockout nahisi watakua wachache saana
Inategemea...mapenzi ni siri ya wawili.

Mnacheza na watoto wa vyuo na wafanyakazi hili kundi wengi huwapati.... tafuta waliofeli...

Inamaana toka wafeli shule uzoefu wanaowakutosha.

Jaribu kwa wamakonde.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti waliofeli
 
Kila demu ninaekutana nae, hawaendi zaidi ya round 2.
Wengine hata round ya 1 wanashindwa.

Wengine ukipiga leo, kesho hawezi tena....

Na kigezo kikubwa kwangu kwa mwanamke ni yule ambae atahimili mikiki mikiki ya kitandani....

Ninaokutana nao wengi hawakidhi vigezo vyangu.

Naweza oa wake wawili na wote waishi nyumba moja???

Komaa tu kushindana na ulipopitia kuja duniani!
Iko siku utaitwaa medani ya dhahabu! Go go go.
 
Ningekupa dem wzngu mmoja hivi ungeridhika tu,ak
Anazungusha kiuno kama feni la pangaboi. Nlijikuta nataka kuvunja ndoa yangu familia ikaingilia kati

Back
Top Bottom