Tuoneeni huruma nyie wanawake wenye tabia hii

Tuoneeni huruma nyie wanawake wenye tabia hii

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,718
Reaction score
63,404
Kuna siku moja nilikuwa nafanya matembezi ya miguu na binti yangu,tukapita mitaa fulani.....kwa mbele kuna wamama walikuwa wamekaa barazani,sasa kuna mmama mmoja akaamua kujiachia ili tunaokuja huku tuweze kuona yaliyomo...Ghafla mtoto akatafuta namna ya kunizubaisha,baada ya kuvuka pale ndipo akaniambia nilikuzubaisha ili usimuone yule alivyojiachiaa.
 
Ana wivu huyo sukuma huko
tapatalk_1568291316622.jpeg
 
Kuna dem alikuwa amevaa suruali hajafunga zipu.
Nikamstua babe. Nikamjulisha kuwa nataka nimwambie yule dem ajiweke sawa. Alikataa akasema nikaushe.
 
Kuna dem alikuwa amevaa suruali hajafunga zipu.
Nikamstua babe. Nikamjulisha kuwa nataka nimwambie yule dem ajiweke sawa. Alikataa akasema nikaushe.
ha ha ha umenikumbusha maisha ya chuo,unakuta binti amevaa suruali imembana halafu kwa nyuma kuna zipu ya kushuka chini
 
Wana tabia za kimeru meru sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom