Inawezekana vipi!

Inawezekana vipi!

Ahmras

Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
34
Reaction score
22
Sometime nakaa najiuliza ila nakosa jibu, hivi inakuaje baadhi ya vijana wa siku hizi hutafuta wapenzi, mume au mke mitaondi. Tena wengine wanafikia hatua ya kuweka hadi picha zao na kuorodhesha sifa zake na huyo amtakaye.
Swali langu ni kwamba hao vijana wanakosa nafasi ya kukutana na watu wanaowahitaji katika mazingira yao au ni kipi kinawasukuma kuingia mitandaoni ili kumpata mpenzi ambaye hawakuwahi hata kuonana?
 
hakuna limitation ya kutafuta mchumba, popote unaweza tafuta mkuu...
kuna watu wanafurahia uwepo wa social network coz wamepata wachumba na maisha yanaenda
 
Mkuu hii ndo maana halisi ya kuwepo kwa utandawazi. Kwa developed countries MTU hana mda wa kutafta mchumba mtaani kulingana na ubize wa mambo yake, kikubwa anaweka criteria zake wenye sifa wanajitokeza tena ni kwa jinsia zote.
Lakini ktk developing countries kama hapa kwetu inaonekana ni jambo la ajabu, tunashindwa kucopy speed ya dunia na maendeleo yake.
 
hakuna limitation ya kutafuta mchumba, popote unaweza tafuta mkuu...
kuna watu wanafurahia uwepo wa social network coz wamepata wachumba na maisha yanaenda
Ila kupitia utandawazi mtu ni rahisi kudanganya maisha yake halisi na kupelekea kupata kile usichokitarajia.
vipi unasemaje kuhusu hili?
 
Mkuu hii ndo maana halisi ya kuwepo kwa utandawazi. Kwa developed countries MTU hana mda wa kutafta mchumba mtaani kulingana na ubize wa mambo yake, kikubwa anaweka criteria zake wenye sifa wanajitokeza tena ni kwa jinsia zote.
Lakini ktk developing countries kama hapa kwetu inaonekana ni jambo la ajabu, tunashindwa kucopy speed ya dunia na maendeleo yake.
Ila kupitia utandawazi mtu ni rahisi kudanganya maisha yake halisi na kupelekea kupata kile usichokitarajia.
vipi unasemaje kuhusu hili?
 
Kwa hiyo ulitaka waeleze vipi hisia zao labda?
 
Mbona mi mke wangu nimempata whatsapp mwaka 2016 na nimemuoa mwaka huu?
 
Wengine blah blah hawawezi, maana kuanza kumfatilia mtu ni kubet atanikubali ama laah. Lakini ukiweka bango mtu akaja ni ina maana yuko tayari.
 
Back
Top Bottom