Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,643
Hii mentality ya "maisha kusaidiana" naona inawapeleka wamaume wengi kusiko. Imefikia point mwanaume akitaka kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi wapi. Wanaume wanakua lege lege sana zama hizi.
Kuoa mwanamke mwenye kipato au kazi ilipaswa kua bonus tu na sio criteria ya kusaka mke. Imekaa kivivu flani na unaweza kuwaza tu kua mwanaume ma hvi hata kwenye ndoa hayupo hasa kuihudumia na kuitunza familia bali kusaidiwa na mwanamke wake. Ukiwaza kwa kina imekaa kimario flani hivi.
Na dhana nzima ya kupenda kusaidiwa imekaa kianamke zaidi, ni kawaida kwa wanawake kupenda kusaidiwa ila kwa mwanaume kupendelea kusaidiwa ni hatari kwa vizazi vijavyo wa wanaume.
Sijapinga mwanamke kua na "kamchango" katika maendeleo ya familia lakini sio ndo dume na mikengele yako katikati ya miguu "maisha kusaidiana" kwa mtazamo huu haushindwi kufungua fungua pochi ya mkeo.
Kama mwanake anakipato chake usikodolee mimacho tena ningeshauri kama mkeo hana kazi mfungulie biasha au miradi kulingana na talent na hobby zake ila usitolee macho kipato chake hudumia familia na maendeleo ya familia na amini utafanikiwa kutunza heshma yako na mamlaka kama kiongozi wa familia.
Kama ukikubali kusaidiwa maisha kubali pia kugawana mamlaka, heshima ya uongozi wa familia na mkeo.
Nimalize kwa kusema kuna raha yake kumudumia mwanamke (mkeo) sasa yani siwaelewi hawa wanaum wenzangu wanao chekelea "kusaidiwa" maisha. Kuna ile raha unamhudumia mwanamke kwa jambo flani anafurahi sana full kujichekesha afu unamkamata unamsukumia "mslopoganzi" siwez kuelezea nikaeleweka ila kuna raha katika kumuhudumia mkeo.
Peace be upon you.