Machangudoa Kutoka Maofisini: Inakuwaje?

buluwaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
207
Reaction score
45
Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa na usumbufu sana kwangu kulielewa. Ni kuumwa? au ni kuwa na mipango mingi kuzidi wanaume, au ni ulafi tu wa hela? Wanapata mishahara kama wanaume pale ofisini kwenu, au pengine hata kuwazidi wanaume fulanifulani, lakini bado watadanganya wapate muda wa kuuza K sehemu sehemu.

Niulize kidodo hapa jamani, hivi kweli si wagonjwa wa akili wanawake wa aina hii? Na ukiwa na mtu kama huyo katika ofisi unamwachaje katika ofisi hiyo hata kama anajua saaana kutaipu kompyuta.

Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa….. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?
 
Mfanyakazi anayoyafanya kwa muda wa ziada hiyo haikuhusu kama mwajiri. Kuna code of conduct na inaongelea kuhusu ruhusa. Kama yuko smart actually angehakikisha anachukua likizo ya wiki nzima kila bunge na lile la bajeti anachukua likizo ya wiki 2 kabisa akauzeeee hadi abakishe change.

Ofisi gani mnapeana ruhusa kwa visms vya simu? Hebu kuwa serious ili watenda kazi nao wawe serious.
 
Non sense!

Kwani wanunuaji ni wa misituni??!!!Si ni wa ofisini pia au we unaonaje hii???!!!!

Kama unaongelea tatizo la commercial sex workers weka pande zote wauzaji na wanunuaji ili kuweza kupata suluhisho as wapo wana wakienda lunch wanapitia kibanda umiza kusukutua then back to office!!!!!

Muache apige kazi kama objectives anakamilisha na fuata ushauri wa King'asti hapo boss unasomaje text ya Ps a ndo briefcase office???!!!!
 
Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa na usumbufu sana kwangu kulielewa. Ni kuumwa? au ni kuwa na mipango mingi kuzidi wanaume, au ni ulafi tu wa hela? Wanapata mishahara kama wanaume pale ofisini kwenu, au pengine hata kuwazidi wanaume fulanifulani, lakini bado watadanganya wapate muda wa kuuza K sehemu sehemu.

Niulize kidodo hapa jamani, hivi kweli si wagonjwa wa akili wanawake wa aina hii? Na ukiwa na mtu kama huyo katika ofisi unamwachaje katika ofisi hiyo hata kama anajua saaana kutaipu kompyuta.

Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa….. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?

We buluwaya inaelekea kuna mtu kakunyima kitu hapo ofisini kwako. hii hii kitu hii hapa kuna mtu kakunyima apo ofisini kwako. ongea na uyo mtoto vizuri tu aise. ni wasikivu hawa atakugea tu... achana na hii ya kuja kuchongea uku JF

Sin 1.jpg
 
Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa na usumbufu sana kwangu kulielewa. Ni kuumwa? au ni kuwa na mipango mingi kuzidi wanaume, au ni ulafi tu wa hela? Wanapata mishahara kama wanaume pale ofisini kwenu, au pengine hata kuwazidi wanaume fulanifulani, lakini bado watadanganya wapate muda wa kuuza K sehemu sehemu.

Niulize kidodo hapa jamani, hivi kweli si wagonjwa wa akili wanawake wa aina hii? Na ukiwa na mtu kama huyo katika ofisi unamwachaje katika ofisi hiyo hata kama anajua saaana kutaipu kompyuta.

Atakwambia Oooo, shangazi anaumwa saana singida kanitumia meseji hii, meneja unaonyeshwa kijimeseji kimetumwa na shosti yake anakaa mbagala. unaona, anataka niende. Shangazi hanaye singida. Kumbe changu huyu wa ofisini anataka akachukue laki zake tano za chapchap pale Dodoma bungeni. Unampa ruksa….. teh teh teh ! hii imekaaje wadau. Ukiwa na mfanyakazi kama huyu hivi si mtu wa kumtimua kweli?

Ukisema uwafukuze utawafukuza wangapi? Dawa ni kuangalia utendaji kazi, kama anafanyakazi ipasavyo achana nae fata yako. Ila hakikisha kazi inaenda poa.
 
Salute to King'asti na OLESAIDIMU kwa majibu yaloenda shule.

Mleta mada, ungeileta mada yako ikabeba maudhui ya kiimani zaidi au madhara ya kiafya yatokanayo na ngono kwa pesa hasa mnunuzi anapokuwa na final say huenda ingekuwa na mshiko. Lkn hilo la wadada wa ofisini subordinates wako wanaoenda kufanya mapenzi/ngono kwa permission yako, na ulalamishi wauleta JF sio kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja da Kaunga kuna mdau amemuuliza au yeye kanyimwa ilhali watu wanaenda kupewa katikamuda wa kazi na yeye mshahara atoa kama ada!!!!!!
 
Hahahah, l think l know his type. LOL
The unlucky ones ambao hawana skills au charms za kuwapata wadada hata kama ana pesa kiasi gani. Matokeo yake huishia kuwaona wengine wadhambi kuliko shetani, huku kimoyomoyo anawatamani.
We had a guy like that kwa ofisi yetu. Sms zake za kutongoza it's laughable.
 
Ha ha haaaaaa my dada utanifanya nionekane kituko hapa yaaani kama unamuona jinsi unavyosema you think you know his type while nodding head!!!

Na huyo anayetongoza kwa sms naye anatuaibisha sasa why achague njia ambayo sio murua kwake na kuacha ushahidi!!!!!!

Mmmmmmhhhh kwa hiyo dadangu watu bado wana go arround that thing???!!!
 
enhee, em nambie Kaunga, na wanaotongoza kwa flowers unawaonaje.... kutongoza kwa sms hata mie naona ngumu. flowers je? tufanye labda roses hivi, au mnayaona yamekaa kizungu mno. au?
 
Hahahah, l think l know his type. LOL
The unlucky ones ambao hawana skills au charms za kuwapata wadada hata kama ana pesa kiasi gani. Matokeo yake huishia kuwaona wengine wadhambi kuliko shetani, huku kimoyomoyo anawatamani.
We had a guy like that kwa ofisi yetu. Sms zake za kutongoza it's laughable.

Hahahha. Kwa hiyo unataka kusema jamaa inamuuma ruhusa anatoa yeye, halafu mwenyewe hapewi..kwikwiwkwii. Dah izi mambo izi kazi kweli kweli
 
Yah, sometime pengine imemuuma, na kama inavyo semwa hawa jamaa kama huna bahati ni gumzo tupu, utaambulia patupu. Of course sio tabia nzuri kwa sababua unadharirisha taaluma na nafasi ambayo MUNGU amekujalia na wengine wamekosa. Lakini hii kazi ya kujiuza msipime, ni balaa. Nikirejea gazeti la Majira la tarehe 21/08/2013. ISSN 0856-5086. Na. 7168 VOL.II/5268. Unaambiwa wale jamaa wanaojiuza kwa siku kama biashara iko chini hawakosi TSH 30,000/= hadi tsh 50,000/= ambayo ni sawa na tsh 900,000/= hadi 1,500,000/= kwa mwezi. Katika maisha ya wafanyakazi wa kawaida, kama ulishawahi kufanya hata umalaya wa kawaida, huwezi kuacha kwa sababu ni njia nyepeesi ya kujipatia fedha. KIKUBWA NI HEKIMA, UKIKOSA HEKIMA KWA KWELI HUWEZI KUWA MVUMILIVU WALA HUWI NA SUBIRA.
 
Hii mada ghafla itageuka mjadala juu ya mleta mada, JF bana!
 
Umekomalia wanawake kwani wanajifanya wenyewe. namjua mdada mmoja mumewe anambadilishia gari mpya kila mwaka lakini anao wa oficin kama watatu hivi. ....... kama una swali uliza.
 
Bosi anakula zigo mapemaaaa ili akiombwa ruhusa kusiwe na kauzibe baby naumwa Leo siji kazini, kuwa bosi ni kazi.
Mfanyakazi anayoyafanya kwa muda wa ziada hiyo haikuhusu kama mwajiri. Kuna code of conduct na inaongelea kuhusu ruhusa. Kama yuko smart actually angehakikisha anachukua likizo ya wiki nzima kila bunge na lile la bajeti anachukua likizo ya wiki 2 kabisa akauzeeee hadi abakishe change.

Ofisi gani mnapeana ruhusa kwa visms vya simu? Hebu kuwa serious ili watenda kazi nao wawe serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom