Madereva bajaji ana bodaboda wana siri nyingi sana za ndoa..

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Nimeongea na kijana hapa dereva wa bajaji ananiambia huwa anapeleka mke na mume kuchepuka guest kwa wakati tofauti na hakuna anayejua mwenzake anachepuka.

Anasema mke huwa anaenda kuchepuka mchana kuanzia saa 5 asubuhi wakati mume yupo kazini.. na weekend mume hutumia dereva huyo huyo kwenda kuchepuka guest nyingine.

Mume hajui kama mkewe anachepuka na mkewe hajui kama mume anachepuka ila huyu dereva ana mkanda mzima.

Ndoa zina mambo mengi sema muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo kama anatumia njia za uzazi wa mpango, vijiti, vitanzi, sindano au vyovyote, hapo ni kuomba sana Mungu kwa imani yako.
Ukute mwanamke hana elimu, yeye anachojua ni hatari katika ngono ni mimba! Hajui kuwa kuna magonjwa lukuki ya zinaa.
Kuna mengi sana yanaendelea katika maisha ya ndoa na uaminifu ndani ya ndoa.
Japo si mwanandoa, nayaona mengi.
 
Sasa si bora huyo aise ataliwa ila athari hazitaonekana. Ambaye hatumii uzazu wa mpango si ikishanasa anakuletea nawe kisha mtoto wenu.
 
Hawajamaa kweli wanajua mengi kama ilivyokua kwa taxi zamani!
 
Daby athari zinaonekana kwenye magonjwa boss!
Unataka kuhalalisha kwakuwa anatumia uzazi wa mpango apanue ovyo mapaja?
Hapo ndipo tatizo lilipo.
Na hapo ndiyo nimesema kwa mwanamke ambaye hajui lolote, anakuwa mtu wa kutiwa huku na kule huku ajiliwaza eti anatumia uzazi wa mpango!
Kumbe kuna athari nyingine inje ya kupata mimba.
Nayo ni magonjwa ambayo hupelekea kifo au matatizo ya kudumu na kurudisha maswala ya kimaendeleo nyuma.
 
Da'Vinci Integrity ni kuwa mkweli...honest. Sio tu uonekane mkweli lakini hiyo kweli itoke moyoni.

Ni neno pana saana.

Mfano: nikikukaribisha kwangu kisha nikakupa juice ukanywa ukamaliza nilipotaka kukuongeza ukasema hapana ila nilipokuaga naenda kununua mboga ukafungua friji ukajimiminia kisha ukafuta ushahidi nisijue tayari umekosa integrity.

Mfano 2 : Unafanya kazi kwa kujituma pindi umwonapo boss akitoka tu unategea tayari umekosa Integrity.
 
Nimekuelewa mkuu...naogopa mtoto wa nje kuliko magonjwa.

Ila nimekupata.
 
Da'Vinci Integrity ni kuwa mkweli...honest. Sio tu uonekane mkweli lakini hiyo kweli itoke moyoni.

Ni neno pana saana.

Mfano: nikikukaribisha kwangu kisha nikakupa juice ukanywa ukamaliza nilipotaka kukuongeza ukasema hapana ila nilipokuaga naenda kununua mboga ukafungua friji ukajimiminia kisha ukafuta ushahidi nisijue tayari umekosa integrity.

Mfano 2 : Unafanya kazi kwa kujituma pindi umwonapo boss akitoka tu unategea tayari umekosa Integrity.
Kwa kiswahili si ndio uadilifu...?
Kwa mujibu wa para ya mwisho!
 
Mkeo kama anatumia njia za uzazi wa mpango, vijiti, vitanzi, sindano au vyovyote, hapo ni kuomba sana Mungu kwa imani yako.
Ukute mwanamke hana elimu, yeye anachojua ni hatari katika ngono ni mimba! Hajui kuwa kuna magonjwa lukuki ya zinaa.
Kuna mengi sana yanaendelea katika maisha ya ndoa na uaminifu ndani ya ndoa.
Japo si mwanandoa, nayaona mengi.
Mtoa mada amesema wote mke na mme wote wanachepuka kwa nyakati tofauti. Wewe mbona comment yako imelalia sehemu moja tu ya mwanamke?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom