Habari wanajamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana, ila nilikuwa nashindwa kimwambia ukweli(domo zege) hasa ukizingatia huyu binti kadiri miaka...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa miaka 36. Mnamo mwaka 1990 mimi na rafiki yangu Jose tuliingia katika kazi yetu ya uvuvi, ilikuwa ni tarehe 23 mwezi wa nne siku hyo kulikuwa na hali mbaya kidogo...
Kuanzia mwanzo wa mwezi wa pili, nimekuwa mtu nisiyejielewa. Nimechanganyikiwa kiasi cha kutojitambua.
Nimekua mlevi kupindukia...najikojolea hadharani. Nahitaji msaada wenu wanaJF. Ninyi ndio...
Mhadhiri wa saikolojia na sayansi ya ubongo bwana Santos ataja njia tano za kujitengenezea furaha katika maisha yako ya kila siku. Kwa mujibu wa shirika la BBC, Mhadhiri wa saikolojia na sayansi...
Tangu kipindi hicho hadi sasa umri wa kuoa umefika lakini kila nikichagua mwanamke ninayemtaka nakuta ana mdomo mdogo na ile kauli ya marehemu baba inanijia bado napata tabu kwa nini baba...
Nampenda ananipenda. Tumefahamiana kwa muda kama wa mwezi mmoja.
Siku hiyo ananialika nyumbani kwake tuonane baada ya kutoonana muda mrefu. Najiandaa freshi naenda.
Njiani napitia keki na...
Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating...
Kuna dada mtaani hapa tulishawah kuwa na mapenzi zaman kwa bahati mbaya kipindi icho nlikuwa sijui mambo nlimchapa kimoja nikawa chalii
Sasa leo nimemkumbushia angalau ata nipashe kiporo...
Kama unajijua kabisa usiku huu wa leo una ratiba ya kugegedwa au kugegeda basi na inakupasa kuzingatia yafuatayo:-
1. Safisha KINENA chako kiwe safi kabisa ( hasa kwa wanawake) kwani yale yale...
Wadada huteseka sana hasa pale wanapotaka kupata watoto na wanakuwa hawapatikani...
Kuna bosi wangu mmoja,yeye hajabahatika kuolewa ila alizaa na mtu tu kutokana na umri kumtupa mkono.Ana mtoto...
Aiseee mishe nyingine shida. Nilikuwa naishi Mara. Maeneo ya Tarime, one day nkaamua kujiachia. Nikamuona dada mmoja wa hatari. Tukaongea tukakubaliana. Ilikuwa ijumaa, basi kabla ya mchezo...
Nina miaka 28 ila Nina tatizo LA kupenda wanawake watu wazima nikipata msichana mdogo nahis kuto enjoy mapenz na wamame wenyew ninao watamani wawe vibonge sasa sijui Nina tatizo la saikolojia mana...
Wadau nilibahatika kutembelea nchi fulani kwa mwaliko wa rafiki zangu huko. Kimsingi nilijighalimia nauli ila wao walinipatia sehemu ya kulala na kula ilikuwa juu yao.
Basi bana , katika pita za...
MWANAMKE ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUOMBA PESA KWA MWANAUME
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi...
Nilipokua kijana wa miaka 15 nilijiapiza kutofanya mambo kadhaa mahususi kabisa katika maisha yangu na sasa nina 35 sijavunja kiapo changu binafsi.
Kuamua kutofanya mambo haya ni uamuzi wangu...
Bado sijaamka Asubuhi hii naanza kupatwa na Majaribu,
Jirani yangu wa kike Chumba cha pili tu hapo kanigongea Nimefungua mlango nikakuta kavaa kanga moja tu, bila salamu kaingia mazima mpaka...
Ila sisi wanaume tunakua tunalaumu bure na kujiskia vibaya tukikataliwa papuchi na wanawake.
Imagine wanawake wangekua hawakatai kila anae waomba papuchu wanampa tuu?
Yaani ukiomba mke wa flani...