Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,552
- 64,952
Mfanye mkeo/mumeo kuwa rafiki
Sisi wengine wapembeni ni wanafiki tu, likikukuta la kukuta ni wewe na uliyenaye au familia yako kama iko karibu na wewe. Sisi wengine tutakupamba kwa maneno mazuri labda kwa sababu tunakunywa pombe au kula pamoja, au wewe ni bosi wetu n.k Lakini mambo yakikubadilikia ni wewe na uliyenaye.Ni vizuri kuwajengea uwezo hawa tunaoishi nao iwe mke/ mume/ watoto ili wawe 'backup' pale utakapokuwa na changamoto. Ata kama unachepuka,chepuka kwa akili na uchepuke kwa yule anayejitambua tu.