Hawa wa mitandaoni ni kuji- beautify tu nothing else

Bavarian8

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
655
Reaction score
1,449
Mademu wa mitandaoni mfano
- jamii forum
- Instagram
-facebook
-Snapchat
- Badoo
Twitter and others social network kiukweli sio wasuuupu/ wakali / pini/ mashine kuliko hawa tunaokutana nao live kabisa mitaani na maeneo mengine ,,,,mitaani Kuna totoz Kali balaa hili nimeliona kabisa ,aseeee hatari

Hawa wa mitandaoni ni kuji- beautify tu nothing else ,kabisaa

Je unkubaliana na Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dondosha comment hapa [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya hao unaowaita wa mitaani na hao wa mitandaoni? Mbona ni wale wale tuu?

Jr[emoji769]
 
We mzee nakuheshimu Sana binti wa kike aliyoko zake nyumbu pale mfano ni sawa na mijiyanawake ya sinza,mwenge ,magomeni ?kwanza wengi wa mitandaoni wanaji- beautify ili wapendwe zaidi manake wanakuwa public ,,ohooo!!
Hivi kuna tofauti gani kati ya hao unaowaita wa mitaani na hao wa mitandaoni? Mbona ni wale wale tuu?

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unamaanisha mitandaoni ni nchi/dunia nyengine? Tulioko huku hatumo mitaani?

Hebu acha upopoma
 
Mademu wa mitandaoni mfano
- jamii forum
- Instagram
-facebook
-Snapchat
- Badoo
Twitter and others social network kiukweli sio wasuuupu/ wakali / pini/ mashine kuliko hawa tunaokutana nao live kabisa mitaani na maeneo mengine ,,,,mitaani Kuna totoz Kali balaa hili nimeliona kabisa ,aseeee hatari

Hawa wa mitandaoni ni kuji- beautify tu nothing else ,kabisaa

Je unkubaliana na Mimi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dondosha comment hapa [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli ila utatukamwa. Kuwa mvumilivu.
 
Sikuhizi watu wengi Wanatumia Simujanja
Mpaka hapo atakuepo facebook,Instagram or either one of social Network. Hivyo ni Wale Wale tuu home boi
.
Labda useme jf Kama jf hilo Linawezekana [emoji851]
 
Back
Top Bottom