Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 635
- 1,458
Habari wana jamvi wenzangu natumai tupo salama na tunaendelea kuijenga nchi huku tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya janga hili la Corona aka COVID19.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucheki ishu ya Corona na uimarishaji wa ndoa. Corona ni tatizo ambalo wananchi wengi wametahadharishwa kukaa nyumban kama hakuna haja sana ya kutoka
Zifuatazo ni baadhi ya faida za watu hasa wanandoa kukaa nyumbani
1. Mapenzi yanakua motomoto pale wanandoa ambao mara nyingi wanakuwa bize na kazi sasa wamtulia nyumbn na kufaid tunda watakavyo wenyewe
2. Nyumba zimekua na amani watu hawakesh bar hasa wanaume
3. Watoto wanawafaidi wazazi. Ambao muda mwingi wanakuaga bizee. Hasa vile vitoto vya boarding School
4. Wapenzi sasa wanapata muda wa kupanga mipango mizuri ya kifamilia
PS: Faida zipo nyingi wanajamvi tuongeze tunazoziona. Japo na hasara zipo
Sent using Jamii Forums mobile app