Fahamu njia watumiazo wadada kupata wachumba JF baada ya tangazo

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,191
Nawasalimu toka Kijiji Cha Wishiteleja. Wilaya Kishapu, Mkoani Shinyanga.

Ngoja twende kwenye mada, maana staki kumchosha mtu hapa.

Sasa baada ya kuweka tangazo la kutafuta Mchumba, Mume nk. Maombi huingia kwa wingi sana. Mchakato wa kuchakata maombi huanza rasmi..

Kwanza zitajibiwa PM , ID zenye dalili za ' Usereouz '. Wale w waliotuma maombi kiutani utani huu ndio unakuwa mwisho wao.

Baada ya kupewa ushirikiano kwa baadhi ya ID, hatimae mchakato hupitisha watu15 kwenda hatua inayofata..

Umri, location . Dini . Kazi nk ndio vigezo vikuu.
Hawa15 nao hupewa ushirikiano sawa. Kwa kuwa lengo ni kumpata mmoja, basi 5 kati yao hukatwa rasmi. Na kufanya idadi kuwa10.

Hawa kumi nao hupewa ushirikiano sawa. Mchakato huwaengua wenye watoto. Vitambi. Wafupi nk. Na kufanya idadi kufikia5.

Sasa hawa5 huenda mbali zaidi na kupewa namba kwa mawasiliano zaidi. Sasa ukiona umepewa namba na mdada ' anayetafuta ' mchumba, basi tambua umeingia top5

Hapa Ujasusi huwa mkubwa zaidi. Kwani huangaliwa anayejali. Asiye na hasira. Sio Mlevi nk..
Tamaa za kuomba papuchi huwaponza wengi hapa, na kupelekea kuenguliwa kwa3. Na kufanya idadi kubaki 2.

Hawa wawili mmoja anaenda kuuvunja mfupa uliowashinda wengi..

Sasa iko hivi, kwa kuwa Mchezo mzima umeendeshwa Kijasusi. Hii itapelekea wale walioingia final kujihisi wanaChunguzwa pia. So mchezo unageuka kuchunguzana. Uhalisia unapoteza. Mchakato unakufa rasmi.

Mdada anarudi na title ' Bado natafuta ......'

Ushauri.
Haya matangazo ya kutafuta sio ya kushobokea wanangu. Tunakatwa km wagombea wa kile chama..

Usisubiri aweke tangazo. Anza leo kubonga nae.

Uzi unaofata- Najuta kulipia ' huduma ya fasta.. '

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..
 
Wengine uishia kuliwa na ujasusi wao

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Aahh.. wanaume akunaga hizo. Ndio maana wachangiaji kwny matangazo ya kiume huwa ni kiduchu sanaa
Mchakato wa wanaume nao uko hivyo? Maana mimi huwa nikituma maombi nakatwa hatua za mwanzo kabisa pengine hata sijibiwi

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..
 
Khs wanawake kuwa wengi kuzid wanaume huwa ni propaganda tu.. Hawa viumbe ni wachache askwambie mtu..

Em cheki..
Magerezani wengi ni Me..

Ukitembea town wengi ni Me..

Clubs hujaza sana Me..

Church wengi ni Me..

Yani kila chimbo me tunafunika. Sasa inakuaje tena wao ndio wawe wengi..
kwani wanawake wamekuwa adimu kiasi hicho?

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..
 
Nawasalimu toka Kijiji Cha Wishiteleja. Wilaya Kishapu, Mkoani Shinyanga.

Ngoja twende kwenye mada, maana staki kumchosha mtu hapa.

Sasa baada ya kuweka tangazo la kutafuta Mchumba, Mume nk. Maombi huingia kwa wingi sana. Mchakato wa kuchakata maombi huanza rasmi..

Kwanza zitajibiwa PM , ID zenye dalili za ' Usereouz '. Wale w waliotuma maombi kiutani utani huu ndio unakuwa mwisho wao.

Baada ya kupewa ushirikiano kwa baadhi ya ID, hatimae mchakato hupitisha watu15 kwenda hatua inayofata..

Umri, location . Dini . Kazi nk ndio vigezo vikuu.
Hawa15 nao hupewa ushirikiano sawa. Kwa kuwa lengo ni kumpata mmoja, basi 5 kati yao hukatwa rasmi. Na kufanya idadi kuwa10.

Hawa kumi nao hupewa ushirikiano sawa. Mchakato huwaengua wenye watoto. Vitambi. Wafupi nk. Na kufanya idadi kufikia5.

Sasa hawa5 huenda mbali zaidi na kupewa namba kwa mawasiliano zaidi. Sasa ukiona umepewa namba na mdada ' anayetafuta ' mchumba, basi tambua umeingia top5

Hapa Ujasusi huwa mkubwa zaidi. Kwani huangaliwa anayejali. Asiye na hasira. Sio Mlevi nk..
Tamaa za kuomba papuchi huwaponza wengi hapa, na kupelekea kuenguliwa kwa3. Na kufanya idadi kubaki 2.

Hawa wawili mmoja anaenda kuuvunja mfupa uliowashinda wengi..

Sasa iko hivi, kwa kuwa Mchezo mzima umeendeshwa Kijasusi. Hii itapelekea wale walioingia final kujihisi wanaChunguzwa pia. So mchezo unageuka kuchunguzana. Uhalisia unapoteza. Mchakato unakufa rasmi.

Mdada anarudi na title ' Bado natafuta ......'

Ushauri.
Haya matangazo ya kutafuta sio ya kushobokea wanangu. Tunakatwa km wagombea wa kile chama..

Usisubiri aweke tangazo. Anza leo kubonga nae.

Uzi unaofata- Najuta kulipia ' huduma ya fasta.. '

Nimemkataa Shetan na mambo yake yote..

Sa mbona ww unasubir niweke tangazo?? Si uje tuanze kubonga leo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom