Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

Unaweza kudate na EX wa rafiki yako?

Mwangazza

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
33,796
Reaction score
51,067
Poleni na mihangaiko ya kila siku huku mkiendelea kuchukua tahadhali ya kujikinga na corona sweet.

Kwa leo ningependa kuuliza

What's your opinion on dating a friend's ex?
Guys ,is it Wrong?
Is it Ok?
Or it depends?

Una maoni yapi kuhusu kutoka na mtalaka wa rafiki yako?
Wanajopo, hii kitu ni makosa ya kiufundi ?
Ni sawa tu ?
Au inategemea na hali nyingine ?

Mimi binafsi niliwahi kumnyandua ex wa my best friend. Ila mwishowe ilibidi nichague kuwa na urafiki na jamaa au kuendelea ku date yule msichana.
Nikachagua kuachana na yule manzi baada ya kunyanduana lakini.

What is your take on this ?
 
Kwangu mimi siwezi date na x wa rafiki angu.

Ila kama rafiki angu akitaka kudate na x wangu kwangu ni sawa tu hakuna tatizo.
Labda kwangu ilikua ni njia tu before hajakutana na rafiki angu...you never know.

Ila pia why hata kama ni marafiki tuwekeane mipaka ya kudate...kwa sababu naaamin mtu mkishaachana maana yake kila kitu kimeishia hapo.
 
Poleni na mihangaiko ya kila siku huku mkiendelea kuchukua tahadhali ya kujikinga na corona sweet.

Kwa leo ningependa kuuliza

What's your opinion on dating a friend's ex?
Guys ,is it Wrong?
Is it Ok?
Or it depends?

Una maoni yapi kuhusu kutoka na mtalaka wa rafiki yako?
Wanajopo, hii kitu ni makosa ya kiufundi ?
Ni sawa tu ?
Au inategemea na hali nyingine ?

Mimi binafsi niliwahi kumnyandua ex wa my best friend. Ila mwishowe ilibidi nichague kuwa na urafiki na jamaa au kuendelea ku date yule msichana.
Nikachagua kuachana na yule manzi baada ya kunyanduana lakini.

What is your take on this ?
Mbona Mandela alioa mke wa rafiki yake kipenzi marehemu Samora. Kama wameachana na wewe unaona kabisa rafiki yako kamzingua mwanamke na ni mwanamke anayejielewa unaoa kbs tena bila hata shida. Kuna mkasa mmoja magomeni lango la jiji pale jamaa alimuacha mke wake baada ya siku 30 kuisha mpangaji mwenzie akaoa na kukaa nae mlemle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yeyote ambae hana mate ya kumeza, basi kamwe hawezi kuwanayo ya kutema.
Sababu kama Mungu akikunyima busara, basi nilazima atakupa ujinga.
Na kuubeba mzigo wa lawama, siku zote hauihitaji ngata.
 
Write your reply...ni kawaida tu

halafu ulifanya uamuzi wa busara kumpiga chini urafiki muhimu huwa code yetu ni moja wanaume tuna sapotiana tunapendana

hoe akikwambia u choose kati yake na rafiki yako piga chini wapo wengi
 
Mbona Mandela alioa mke wa rafiki yake kipenzi marehemu Samora. Kama wameachana na wewe unaona kabisa rafiki yako kamzingua mwanamke na ni mwanamke anayejielewa unaoa kbs tena bila hata shida. Kuna mkasa mmoja magomeni lango la jiji pale jamaa alimuacha mke wake baada ya siku 30 kuisha mpangaji mwenzie akaoa na kukaa nae mlemle.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Mandela alioa kpindi mwana ameshafariki hivyo conflict of interest ikawa sio kubwa
 
Back
Top Bottom