Nyie wanawake acheni kututapeli

Nyie wanawake acheni kututapeli

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,595
Reaction score
65,034
Nyie wanawake acheni kututapeli.

Unakuta mtu uko na msimamo wako wa kufanya mambo fulani ya kimaendeleo, mara tu baada ya kupokea simu ya mrembo anakubembeleza kwa maneno malaini, anakupa hisia mpaka unahisi uko naye karibu, ikiwezekana anakuvua nguo kwa simu na anakuambia anataka ile kitu mara unajikuta network ya kichwa imekata; na kufanya maamuzi ya kumfuata kule aliko. Kuja kushtuka unajikuta umefanya matumizi ya anasa ambayo fedha yake ingekusaidia katika kufanya mambo ya msingi hasa ya kimaendeleo.

Mabaharia, mnapambana vipi na hii hali?
 
Nyie wanawake acheni kututapeli..
Unakuta mtu uko na msimamo wako wa kufanya mambo fulani ya kimaendeleo, mara tu baada ya kupokea simu ya mrembo anakubembeleza kwa maneno malaini, anakupa hisia mpaka unahisi uko naye karibu, ikiwezekana anakuvua nguo kwa simu na anakuambia anataka ile kitu....mara unajikuta network ya kichwa imekata; na kufanya maamuzi ya kumfuata kule aliko. Kuja kushtuka unajikuta umefanya matumizi ya anasa ambayo fedha yake ingekusaidia katika kufanya mambo ya msingi hasa ya kimaendeleo. Mabaharia, mnapambana vipi na hii hali?
Mipango ya maendeleo baadae!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stay home!!!
Covid 19 is real

Mi naona hapo mwanamke hana utapeli wowote ni akili yako tu ya uzinzi ndo inakuponza maana had hela unaitoa kwa hiyar yako ili upate kitu flan

GunFire
 
Back
Top Bottom