Idadi ya watoto wanaouwawa duniani kwa mimba changa kutolewa ni kubwa hadi inatisha....

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,625
Habari wadau. Aisee leo nimeona post moja mtandaoni na nikastaajabu sana yaliyojiri katika hiyo post. Study ilikuwa inahusu miongoni mwa mambo au matukio yanayoongoza katika kuua watu.....

Ukimwi ukionyesha kuwa chini kabisa, ikifuatiwa na kansa.... Ila huwezi amini nambali moja ni nini?!

Utoaji mimba, yaani idadi ya watoto wanaouwawa duniani kwa mimba changa kutolewa ni kubwa hadi inatisha....

Hapa imenifanya ni question sana akili, moyo na nafsi za wanawake katika maamuzi yao. Na nimedadavua kuwa wanawake si viumbe wenye akili na utashi sawa, unaweza kuwa salama kuishi na simba katika chumba na akakuvumilia na akawa na utu hata pale animal instict za kukushambulia zikija atakuwa na huruma na hofu kuwa wewe ndie unampa chakula na atakausha na kukulinda.....

Ila mwanamke, unaweza mpa kila kitu na bado akatafuta sababu ya kukudhuru bila kujali na akaja jutia baadae baada ya azima yake kutimia.....

Imagine kuua kiumbe ambacho kipo tumboni mwako na unashare nacho damu.... Aiseee.....

Nimetetemeka sana... Hebu jamii tuanze kuwatazamia hawa mabinti makuzi wanayopitia miaka hii, mama zetu hawa kuwa na maukatili na roho mbaya hivi.......

Cc. Klyni, cc:Mke wa bilionea msofe Arusha, cc Hamida, cc:Dada wa arusha aliyeuwa housegirl, :Cc wanawake wa machame
Screenshot_20200419_143312.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakavyoishi ndivyo utakavyokufa kulingana na aina ya uchafu ndivyo taka itakavyo tupwa

Say no to abortions
 
Back
Top Bottom