Wadau nipeni ushauri
Nina mpenzi wangu ananisisitiza kuwa anataka mtoto na mimi ila ni single mother.
Mimi life langu gumu mbaya, nahisi nitaelemewa na majukumu
Hii imetokea kwa jirani zetu hapo Kenya tarehe 09/05/2020 jioni.
Mwanamke ambae anaitwa Vigilance Shighi(29) ambae ni kabila la Mtaita amemchoma kisu mara saba kifuani na kupelekea kufariki...
Nakumbuka juzi, nilikua nimeenda bank kutoa pesa baada ya kugundua dukani kwangu store imepungua vitu muhimu, kwahiyo nikaenda kutoa salio kidogo ili niweze kwenda kuongeza bidhaa.
Nikaenda bank...
Manzi fulani nilipata kuwa
Alikuwa wa kawaida, sio pisi kivile au OVYO kilive, mshikaji nikajiona ni wakatu wa kutafuta pahala pa kuweka mbegu zangu, nikawa naye kwa kitambo kwenye hiyo...
Hakuna mwanamke atakaejiona amekamilika kama hatongozwi katika pitapita yake, katika uchunguzi wangu nimegundua kwa msichana mzuri inawezekana akawa anatongozwa kila apitako na pengine kila siku...
Nadhani wengi wetu jambo hili lishawahi tufika/tumewahi lishuhudia kwa watu wetu wa karibu. Je, ushawahi jiuliza ni ipi sababu ya mahusiano haya kutodumu?
Karibu hapa tujadili
Hii imekaaje wakuu
Kwanza kabisa natambua sisi binadamu tunatofautiana katika mambo mengi kimaisha na kimitazamo pia, lakini mbali na tofauti zilizopo katika jamii wanaume huwa tunacharacters...
Kazi ya mwanaume ni kulea familia na kuhakikisha familia inapata mahitaji yote za lazima. Haya mambo ya kusema nataka nioe mwanamke mwenye kazi ili anirahisishie ugumu wa maisha ni sawa na kuukana...
Wakuu
Wimbi la ongezeko la wanawake wenye vitambi linaongezeka kwa kasi sana zaidi hata ya speed ya treni ya standard gauge
Wanawake wenye vitambi kiukweli hawana mvuto kwangu na kwa wanaume...
Wengi wenu mnawachukia sana wazazi wenu wa kiume, kwa sababu mmejazwa sumu na mama zenu ila mama zenu nao wana madhambi yao tena makubwa waliyowafanyia baba zenu.
Mama yako ana mimba halafu...
Hii inatokea sana huko Uganda kwenye kabila la Banyankole
Bwana harusi kabla hajamuoa Bibi Harusi anapimwa urijali wake na shangazi yake Bibi Harusi, akikutwa yupo rijali yaani yupo njema anapewa...
I have destroyed my relationship after speaking everything about him to his friends and his relatives. I thought may be it can be a solution to me but he took that chance to hurt me more, I tried...
Habari Zenu?
Karibuni Wasomi, Wataalamu, Wabobezi, almaarufu Wakuu wa JF tujadili hii hoja kwa kina bila kuacha shaka.
Je, unaweza kumuhonga mkeo au Mumeo? Kama unaweza tufafanulie kivipi? Na...
Good morning JF.
Aisee desires can f**k your whole fate.
Rafiki yangu anaumwa mdudu kidole gumba cha mkono wa kulia (kimevimba, watu wa bara huita mdudu). Watu wengi wamemshauri dawa tofauti...
Husika na title hapo juu.
Je,ni sahihi katika wawili wapendanao mwanaume kumsindikiza na kumsubiri mule mule ndani ya saloon mpenzi/mkewe afanyiwe stiming/touch au kuseti nywele?
Wakuu habari, siku tatu zilizopita nimekutana na kimbwanga cha maisha, hii imetokea baada ya mimi kutoka nje kwenda dukani.
Wakati natoka nje Kuna mwanamama alikuwa nje akizungumza na mwenzake...
Miaka iliyopita nilikuwa muhuni sana, kuna mrembo mmoja hivi alikuwa mwanachuo nikatokea kuvutiwa naye, nikaanzisha naye mahusiano huku nikimpiga jeki mahitaji yake madogo madogo. Mbaya zaidi...
Hatuvumi lakini tupo.
Wengi wetu hapa kwa asilimia kubwa tumepata nafasi ya kuwa kwenye hatua mbalimbali za Mahusiano ya Kimapendi.
Na mwisho wa siku mahusiano hayo hayakuweza kudumu kwa sababu...
Naandika huu uzi ili tupunguze kulaumiana kama mabaharia tutimize wajibu wetu kwa hawa watoto wazuri yani akitaka kuchepuka achepuke kwa kupenda kwake na hapa na uhakika atajuta sana roho...
Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa
Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la...