Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
Wakuu habari, siku tatu zilizopita nimekutana na kimbwanga cha maisha, hii imetokea baada ya mimi kutoka nje kwenda dukani.
Wakati natoka nje Kuna mwanamama alikuwa nje akizungumza na mwenzake, wakati narudi nafungua geti yule mama jirani angu nakuta amechuchumaa uelekeo mlangoni umbali wa mita 25 huku kapandisha juu skirt mapaja yapo wazi kiasi nilistuka baada ya kuona kufuli.
Nilihisi vibaya kwani hata kuangalia niliangalia mara moja nikageuza macho na kuingia ndani.
Yule mama leo siku ya tatu nikiwepo home hatoki nje
Naombeni ushauri nini maana yake?