Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa kushiriki Tendo la Ndoa na Bwana Harusi Mtarajiwa

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,919
14,800
Hii inatokea sana huko Uganda kwenye kabila la Banyankole

Bwana harusi kabla hajamuoa Bibi Harusi anapimwa urijali wake na shangazi yake Bibi Harusi, akikutwa yupo rijali yaani yupo njema anapewa ruhusa ya kuoa biharusi πŸ™ˆ

Sasa swali linakuja, kama Shangazi yupo vizuri kwenye Mauno, bwana harusi hatorudi tena Kwa shangazi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na je Biharusi anapimwa na nani Hali yake?!

Wabanyankole huko Uhanda wametisher kuliko Corona πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

1589006957113.jpg
 
Aisee.
Kwahio shangazi mtu anapelekewa bomba kuhakiki urijali wa mkwe.
Natamani kuwaona, unapiga mpaka ndogo ili ajue uko mbaya zaidi.
Hii inatokea Sana huko Uganda kwenye kabila la Banyankole

Bwana harusi kabla hajamuoa Bibi Harusi anapimwa urijali wake na shangazi yake Bibi Harusi, akikutwa yupo rijali yaani yupo njema anapewa ruhusa ya kuoa biharusi

Sasa swali linakuja, kama Shangazi yupo vizuri kwenye Mauno, bwana harusi hatorudi tena Kwa shangazi?!

Na je Biharusi anapimwa na nani Hali yake?!

Wabanyankole huko Uhanda wametisher kuliko Corona

View attachment 1444480

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibongo bongo ingekuwepo ningeenda kuowa kwenye hilo kabila alaf wakat wa kukutana na shangazi yake nakunywa Alkasus mujarab nimkomoe

Sent using Gun Trigger
 
Back
Top Bottom