Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Habari Zenu?
Karibuni Wasomi, Wataalamu, Wabobezi, almaarufu Wakuu wa JF tujadili hii hoja kwa kina bila kuacha shaka.
Je, unaweza kumuhonga mkeo au Mumeo? Kama unaweza tufafanulie kivipi? Na kama haiwezekani tueleze kwanini?