Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wandugu nina wake wawili nawatunza kadri ya kipato changu kidogo lakini kuna binti kila siku hunambia nimuoe! Namjibu siwezi anasema hata anaona wivu namna wake zangu wanavoishi naye anatamani...
2 Reactions
102 Replies
8K Views
Habari za wakati huu wakubwa Naileta kwenu mnisaidie nimshauri huyu kijana Anasema yeye ni mfanyakazi mwajiriwa serikalini, ana miaka 33 mwaka mmoja uliopita alianzisha mahusiano na mwanamke...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilichojifunza ktk safari ya maisha ya mwanadamu,Haijalishi ni wakati gani ktk maisha yako Penzi laweza ibuka mahali na wakati wowote!Na ikatokea kabisa ukampenda Mtu Kwa dhati ya Moyo wako!yaani...
25 Reactions
74 Replies
8K Views
Shikamoni/marahabaa Kuna mtoto wa kishua nimempenda na tayari ameingia kwenye 18 zangu na yupo tayari kunipa zawadi ya tunda ambalo ameniaminisha kuwa halijawahi kuguswa tangu Mungu aliumbe...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Tushaachana ila no yangu anayo yake ninayo nimepost picha ya EX wangu wazamani anaumia kwanini nimempost EX wangu kwanini bado anaumia wakati ye ndo kaniacha nashindwa kuwa free.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanaoweza kupiga shoo za kibabe, unaweza kuwatambua kwa muonekano huu Wanaume Wanakuwa wako simple kimuonekano Hawapendi kuvaa nguo za vitambaa na kuchomekea Wanapenda kuvaa tshirt na jinsi...
7 Reactions
88 Replies
13K Views
Habarini ndugu zangu. Kweli ule msemo nilio ambiwa na mama ya kwamba kua uyaone mwanangu jana ndio nimeshuhudia. Najua mnakumbuka hapa majuzi mnakumbuka nilikuja kuwaomba ushauri juu ya kabinti...
12 Reactions
48 Replies
6K Views
Kilichofanya niandike hii ni kwasababu hawa wanawake wetu wa kiafrica hawanirizishi kabisa, nadhani siko peke yangu. Hii imenifanya nimkubuke synthia mpenzi wangu mzungu wa kutoka nchini Ireland...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
Nimeona kwenye ndoa nyingi, Utakuta mshahara wa mume kwa mwezi ni tsh laki 8, mume na mke wanakaa nyumba ya kupanga, Mme ananunua mahitaji yote ya mwezi ndani ya nyumba k.v unga wa ugali, mafuta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
"Kwanini uliachana na 'ingiza jina'?"... "Ah tulikuwa hatuendani tu" Ushawahi kujikuta kwenye scenario hiyo? Unaweza kumfanyia mpenzi wako kila jambo uonalo ni jema kwake na bado akakuacha au...
25 Reactions
92 Replies
38K Views
Wadau, Nataka kujua, nitamjuaje mwanaume mwenye mapenzi na malengo na mimi? Ushauri wenu please
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Baada ya kutokuwa huweani toka ijumaa, nimeona ni vyema tukawa na uzi ambao tutakuwa tukiweka link mbalimbali za ndani na nnje ya jukwaa hili zilizotrend ndani ya wiki. Hivo kwa nyuzi zilizo trend...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwenu wadada: mwanaume asiporidhishwa kingono hupelekea akuchoke mapema ,ashindwe kurudia game, kuchepuka/kukuacha. Ikiwa mnajidanganya kua mwanaume akimwaga maji ya utam ndo karidhika kingono...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni...
4 Reactions
209 Replies
13K Views
Kwema wakuuu? Katika pitapita zangu kumsaka mwenza wa maisha nikakutana na huyu mrembo aisee nakiri JF kuna watoto wazuri,huyu binti kutoka hapa jamuhuri ya watu wa jamii forums ni mzuri haswaa...
11 Reactions
159 Replies
12K Views
Habari wakuu, Ni jumamosi tulivu bila taarifa mpya ya Visa vya Corona. Tunazidi kuondoa hofu ya ugonjwa huu hata barakoa hatubadilishi tena. Niende moja kwa moja kwenye Swali, Hivi ni njia gani...
2 Reactions
90 Replies
16K Views
Hasa ukimpata mwanamke anayejua nini maana ya kuwa msafi na kumuheshimu mwanaume. Ukimpata mwanamke ambaye ni mshamba hajui kucheza mechi (kacheza mechi chache sana) inanoga sana, maana kila...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…