chakubangamkoloni
Member
- Dec 17, 2015
- 77
- 43
Wandugu nina wake wawili nawatunza kadri ya kipato changu kidogo lakini kuna binti kila siku hunambia nimuoe!
Namjibu siwezi anasema hata anaona wivu namna wake zangu wanavoishi naye anatamani sasa hii ikoje wakuu? Mwanamke kutamani Maisha na ndoa ya mwanamke mwenzake!
Halafu bahati Kila tukikutana hunilaumu mno kwa kuoa wake Wawili! Wakuu huyu binti ni maji kunde na ana nyama za kutosha tu Hana maskandali ya ajabu haishi. Lawama