Nimjueje mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na malengo nami?

Tabia ya mtu ipo ndani ya mtu mwenyewe kwa hiyo ww inatakiwa uwe mwelewa na uende na nyakati.
Ila kwa wanaume tulio wachache tunaoweza onyesha upendo kwenu
1. Kujali hisia Zako na kukupa elimu juu ya maisha na namna ya kukabiliana na vitu vinavyoweza haribu mahusiano yenu.
2. Mara nyingi atakupigia simu karibu kila siku hasa kwa Muda maarumu ambao mtakuwa mmepangilia baada ya majukumu ya kazi.
3. Yupo tayari ku support ugumu au changamoto ya maisha kama ipo.
4. Hutoa appointment na ahadi za kweli juu ya mambo mliokubaliana
5. Kiasi Flani huwa na wivu na hii ni kwa kuwa anataka uwe wake wa maisha yake yote.
6. Hapendi kuzalauliwa na hukasirika Sana anapoona kuna viashiria vya dharau.
7. Huwa na uvumilivu na muelewa lakini pia sex ni muhimu ili kumvutia zaidi na isiwe kila siku.

Kwa leo inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom