Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

lonelygal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
208
Reaction score
166
Nilichojifunza ktk safari ya maisha ya mwanadamu,Haijalishi ni wakati gani ktk maisha yako Penzi laweza ibuka mahali na wakati wowote!Na ikatokea kabisa ukampenda Mtu Kwa dhati ya Moyo wako!yaani ukajikuta tu unampenda Mtu kuliko chochote! Hata ujilazimishe vipi inakuwa ngumu sana kumuondoa akilini!kupenda huku yawezekana umeanza wewe au mwenzio kasababisha!

Ukweli ni kwamba tumelelewa na kupata makuzi ktk namna na mazingira tofauti,bila shaka ndiyo maana tunafanya tuyafanyayo bila kujali ni Kwa namna gani maamuzi yetu yanaweza waathiri wengine.Nimepitia visa vingi humu kikiwepo cha Mtu fulani Juzi [emoji849]na ktk maisha yangu ya kila siku pia nimepata uzoefu wa aina hii! Mapenzi Yanaumiza endapo uliyempenda ulidhani naye anakupenda! Mjue Kwa wasiojua hili na mkumbuke Karma ni halisi!!Wapo watu wanashindwa kutambua thamani ya maisha binadamu wenzao ya kila siku.Fanya kama utakavyo utendewe,usichopenda kutendewa katu usifanye!

Nachojua Mapenzi yanagusa kila nafsi inayoishi! Nimesema Mapenzi ni
Maisha Kwa sababu unapodhamiria kumpenda Mtu haijalishi ni ktk mazingira gani,unakuwa umetoa muda na maisha yako Kwa wakati huo Kwa ajili yake!Hivyo ni Budi kujitahidi kuthamini maisha ya mwenzio japo hii inaweza isieleweke Kwa wale wanaona ni kawaida kufanya michezo na maisha ya wengine! Na bado wanajiona ni wababe!lijueni hilo na kuifundisha jamii yetu!tusipofanya Toba mwisho wa siku tutoa hesabu!Leo waweza jiona mbabe,smart n.k je kesho yako waijua??Tenda mema kadri uwezavyo!

Kama unajua hauko serious Kwa nini kupoteza muda na Maisha ya mwenzio?kwa nini kujifanya smart kuchezea akili za watu???assume huyo unayemfanyia ni kaka yako,mama,dada,mkeo,binti au kijana wako?Utajisikiaje?? Fikiria anaumiaje!wajua maumivu ya kupenda ni makali mno hayaelezeki! Najua yawezekana huwa kuna nyakati katika Maisha tunajitoa ufahamu Ila Mara turudipo ktk akili zetu tukumbuke kuna malipo Kwa kila tutendalo liwe jema au baya!

Nimejisikia kushare nanyi huu ujumbe nikiamini hadi leo wapo watu wameumia na kuumizwa na Mapenzi!kila mwanadamu anahitaji kupenda/kupendwa!kama hauko serious acha kuchezea mioyo ya watu bure!!nenda Kwa vijiwe kama corner bar wapo watu special Kwa huduma za za muda mfupi ambao wako kikazi zaidi!na hawatakuwa attached na wewe! tumia elimu vizuri,tumia Imani yako vyema,umri nao ukusaidie pia!

Wewe unayejiona mshindi Kwa kuumiza wenzio,kumbuka unajiwekea akiba utavuna stahili yako!jali maisha yako/wenzako,jali afya yako pia siyo kila umuonaye anavutia yuko salama,ongeza umakini ktk maisha yako,Jali watu wanaokuzunguka!kama una familia ithamini Kwa matendo siyo maneno!acha kutafuta ubaya usio na sababu!Mthamini Mtu aliyekupa maisha yake,muda wake,hutapungukiwa!Ifanye dunia kuwa mahali salama pa kuishi!kuwa na utu daima!

Wewe na mwenzio mkiwa na tatizo,basi jua chanzo cha tatizo hilo ni wewe!kwamba nyote ndiyo chanzo hivo kila mmoja ajitathimini na siyo mmoja kumlaumu mwenzio!

Nawatakia Kila lililo jema tunapoelekea kumaliza huu mwaka,Mungu atulinde na kututunza!tuwe mabalozi wema!usiwe sababu ya mwenzio kuumia!!
 
Wewe unayejiona mshindi Kwa kuumiza wenzio, kumbuka unajiwekea akiba utavuna stahili yako! Jali maisha yako/wenzako, Jali afya yako pia siyo kila umuonaye anavutia yuko salama, ongeza umakini ktk maisha yako, Jali watu wanaokuzunguka! Kama una familia ithamini Kwa matendo siyo maneno! Acha kutafuta ubaya usio na sababu! Mthamini Mtu aliyekupa maisha yake, muda wake, hutapungukiwa! Ifanye dunia kuwa mahali salama pa kuishi! Kuwa na utu daima!!

Nimeipenda sana hii paragraph! Ujumbe mzuri.

Hasa baada ya kujifunza mapenzi/ kupenda tena UZEENI.
 
Duh nimewaumiza wengi sana hisia zao, pamoja na mimi nimeumizwa sana kihisia. Lakini kuna baadhi yao niliwatafuta na kuwaomba radhi, wengine sijui walipo. Nakumbuka siku nilioongea na kipenzi changu tokea shule mwaka juzi kwenye simu, tulipeana pole na kuombana samahani kwa kila kilicho tokea kati yetu. Ingawa bado nampenda na yeye kusema ananipenda lakini siwezi kutembea na mke wa watu. Nae alisema anaiheshimu ndoa yake, bora kuungua na moto daktari ataweka dawa. Lakini kuungua moyo hata akili haitakuwa ipo sawa.
 
Umeongelea upande mmoja tu wa wanaoumizwa. Kama ulivosem Mapenzi ni maisha, unajikuta baada ya kuanza maisha na huyo mtu unayemwita ameumizwa, unakuta anamapungufu ambayo hayavumiliki wala hayarekebishiki na yeye anajiona yuko sahihi na mwisho wa siku kiufupi mnashindwa kuelewana. Lakini hata ukitaka suluhu mfikie mwafaka yeye ndio anajiweka kwenye upande wa kutaka kuonewa huruma na kujiona yuko sahihi. Hakika huyo ataachwa tu.

Mwisho: wadada ndio wahanga wakubwa wa kuumizwa, wasipende kutumia tendo la kuachwa kama uonevu lakini waangalie kwa nini wameachwa, la sivyo watakuwa wanaumizwa sana. Kujisahahu ndio mwanzo wa majanga yote!!
 
Huyu Smart ni nani hapa jamaaa!?

We smart umetajwa tena hapa... Acha kuumiza watu bana..

Lakini na nyi kina dada kuweni na hekima. Smart atawavuruga sana.

Pole sana...umeandika kwa uchungu sana.
 
Wewe unayejiona mshindi Kwa kuumiza wenzio,kumbuka unajiwekea akiba utavuna stahili yako! Jali maisha yako/wenzako, Jali afya yako pia siyo kila umuonaye anavutia yuko salama, ongeza umakini ktk maisha yako, Jali watu wanaokuzunguka! Kama una familia ithamini Kwa matendo siyo maneno! Acha kutafuta ubaya usio na sababu! Mthamini Mtu aliyekupa maisha yake, muda wake, hutapungukiwa!Ifanye dunia kuwa mahali salama pa kuishi!kuwa na utu daima!!

Nimeipenda sana hii paragraph! Ujumbe mzuri.

Barikiwa Msweet
 
Kama unajua hauko serious Kwa nini kupoteza muda na Maisha ya mwenzio?kwa nini kujifanya smart kuchezea akili za watu???assume huyo unayemfanyia ni kaka yako,mama,dada,mkeo,binti au kijana wako?Utajisikiaje?? Fikiria anaumiaje!wajua maumivu ya kupenda ni makali mno hayaelezeki!
 
Back
Top Bottom