Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimepita mahala nimekutana na EX boy wangu nimempa salamu kiroho safi hajanijibu ananiangalia tu. Hivi atakuwa anaona najipendekeza? Na kila siku lazima nipite pale anaposhinda maana ndio njia...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Naomba kujua hili kwa wanandoa wanapotalikiana (kuachana) nani anaadhirika zaidi kati ya Mwanamke au Mwanaume, na kwanini?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Biashara ya ngono(wanawake kujiuza) imeanza zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Jamii imekuwa ikiwachukulia hasi wanaofanya biashara hii (Unakuta mtu ana wanaume watatu au zaidi lkn bado anamsema...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa. Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao...
8 Reactions
94 Replies
9K Views
__________________________ 1. KWENYE MSHITUKO Mwanaume hustuka halafu huangalia nini kimemstua, mwanamke hustuka halafu huzimia. Baadae ataambiwa na mwanaume kilichostua. 2. KWENYE KUPENDA...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Mapenzi ni closed book in short unakuwa hujui nini kipo ndani so unahitajika kuwa very very smart kuweza ili uweze kufika pale ulipopanga kufika,though kwenye mpenzi sio kila kitu kitaenda...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mapenzi ya sasa yana changamoto sana ukiwa mjinga itakula kwako. Siku hizi kuwa pekee yako kwa mtu imekuwa ni nadra sana. Saivi wadada wengi anakuwa na mtu anae mpenda na anayemtumia (wa pesa)...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kutokana na mazingira yangu ya kazi muda mwingi nakuwa niko mbali na familia. Sasa huko nilipo nikawa na michepuko yangu miwili (yote ni chura matata ingawa wanazidiana kidogo). Katika hao...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
It hurts a lot kwa kweli. Nilimpenda ghafla huyu binti niliekutana nae maeneo ya mataa ya chang'ombe jijini Dar. Japo ilikuwa ni kwa muda mfupi lakini tulipanga panga maisha ya kuwa pamoja kama...
32 Reactions
134 Replies
12K Views
Jamani katika maisha tusipende kutoa ahadi ambazo hatuezi kutekeleza. Tusipende kusema uongo. Just imagine unamuahidi MTU kutwa utamuoa eti hutokuja kumuacha, bad enough unafanya kila uwezalo...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Dunia ina mambo mengi sana wakuu. Unaweza kumpenda mtu na mkaingia naye kwenye mahusiano, baadaye ndio ukagundua kasoro au changamoto alizonazo. Nilishakutana na changamoto moja baada ya kukutana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu Mwaka huu niliazimia kuwa na mahusiano rasmi ambayo kama Mola akibariki tufike kwenye kujenga familia maana mwakani nnafikisha miaka30 Kweli mwaka jana mwezi november nilifanikiwa...
1 Reactions
116 Replies
7K Views
Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale. Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo, nikagundua watoto wa kwanza wa nje ya ndoa kwa wanaume wengi ni watoto wa kike. Hii inachangiwa na nini? au ni kutokana na ile hofu ya kuchepuka ndipo mbegu za...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Habarini wapendwa Leo nikiwa home kuna jamaa kanipigia simu analalamika eti mpenzi wake kamsave BARAKOA ,nimecheka mpaka mbavu zinauma Nikamwambia hiyo mbona ndogo Mimi tu Mama ilumba...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu naomba mnipatie list ya nyimbo nzuri za kuzisikiliza wakati wa tendo murua. Nimepata kadada kamoja nimekawinda mda mrefu sasa nataka nikachote vizuri kitandani. Just nyimbo za kuhamasisha...
0 Reactions
221 Replies
35K Views
Tena ulimuacha kwa shit mbaya na jamaa hakukata tamaa ikampa nguvu ya kutafuta na ndani ya miaka miwili mnakutana na jamaa akiwa na maisha ya hatari na mbaya zaidi yupo na msichana mwingine...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Wadau, Mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12, nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo, natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha...
6 Reactions
74 Replies
12K Views
SIFA ZA MWANAMKE (SIFA NJEMA) 1. Awe mwema 2. Mwenye hekima 3. Mwenye adabu 4. Mwenye busara 5. Awe mkarimu 6. Msafi (mwili na nyumba) 7. Mpole 8. Mwenye huruma 9. Mdadisi 10. Mvumilivu 11...
1 Reactions
38 Replies
22K Views
Habari wakuu, Nawakumbusha tuu tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya corona,kwa sasa Tanzania corona haivumi lakini ipo na inaua kimyakimya. Turudi kwenye mada,Kijana mwenzenu nilianzisha...
5 Reactions
121 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…