Habarini na hongereni kwa kuvuka salama janga la #covid19.Wale wadogo natumai mnaendelea na maandalizi ya shule.Tunashukuru kwa uwepo wenu humu ktk hiki kipindi cha miezi mitatu.
Last month...
Kwamba....
Ukiona Siku yoyote ile unafanya Mapenzi (Unanyiriana) ama na Mkeo au Mpenzi (Demu) wako na ukaona hiyo Siku Ufanisi wake na Bidii yake Kitandani imeongezeka maradufu basi hapo tambua...
Wanajamvi habarini? Wanandoa kwema?.
Muhtasari: nikiwa tineja nilijiwekea mipaka ya makabila ambayo sitao,kila kabila na sababu zake.
Wakurya: ukatili
Wachaga:kutojua mapenzi sana
Wazaramo...
Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao...
Tukiwa Tunaendelea na sherehe za kumaliza korona nchini, tujadili kidogo hii mada.
Naamini hili ni jukwaa kubwa sana. Una mke na watoto wawili au zaidi {mfano} miaka 2, 4 na 7, ukagundua mkeo...
Mkasa wa wanandoa.
MKE WANGU HAJUI, KWAMBA MIMI NAJUA.
Nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 14, na tuna watoto 3, wote wanaume, lakini hakuna ata mmoja ambaye ni damu yangu. Najua ili kwa uhakika...
Nimekuwa na katabia kahovyo kiujumla na sijui sababu kubwa nizipi mpaka haka kahali kamenipata zaman nikajua labda kuwa na mpenzi mmoja kwa muda mrefu nikasema ngoja nijalibu na kwingine lakini...
Huu mgogoro unausuruhisha vipi? (Wenye Uzoefu <Hekima na Busara> na pia wanasaikolojia wenzangu))
(Kuna msemo unaosema hivi when trust is broken sorry mean nothing)
Nimepitia kesi nyingi za ndoa...
Habari zenu wadau!
Leo nimewrudi tena kutafuta msaada wa mawazo yenu. Mimi ni kijana nina miaka 26 kwa sasa namshukuru Mungu kuwa napiga sana kazi na kuingiza kipato. Tofauti na siku za nyuma...
Mimi ninachoogopa nikupangiwa muda wakurudi nyumbani. Nilivyo mzururaji kila mara kulizwa upo wapi .[emoji34][emoji34]
Mara hela ya mboga imeisha, mara nataka hela ya kusuka , mara Lotion...
Hawa wanao-oa na kukaa na wake zao kwa wazazi wao hii inamaanisha nini? Kujitambua ama kutokujitambua. Sidhani kama kuna mdada yeyote anapenda baada ya kuolewa aende akaishi na mume wake kwa wakwe...
Kuna hizi kazi huwa wafanyakazi wake wanakuwa karibu sana na wateja ambazo ni kazi ya boda boda na kazi ya kuuza chipsi.
Wafanyakazi wa hizi kazi huwa wana siri nyingi sana za wateja. Kama boda...
Wakuu wanaume wenzangu,
Nimeona wanaume wengi sana wake zetu wakitukera sana basi tunaishia kuwapa kichapo na hata kuachana nao. Hii ni misuse of resources kwa kiwango kikubwa sana.
Yaani...
Salamu! Napenda kufahamu mtoto hupewa jina siku ya ngapi mara baada ya kuzaliwa?
Je, ni siku ya kwanza, au siku yoyote?
Msaada wenu tafadhali katika hili.
Nakumbuka mwaka 2017, kuna mwanamke mmoja nilikua naye, tukawa tunaishi kama tumeoana, tukawa tunashauriana kama wana ndoa kabisa.
Nakumbuka nilikua nimetenga hela ili ninunue eneo la biashara...
Habar za muda huu wanajamvi?
Naomba kuuliza, ikiwa wazazi wametangulia mbele ya haki (Wamefariki) na tangu wazazi wanwfari kaka ndie aliekuwa akishika usukani katika malezi ya Familia kama baba...
They say having sex first thing in the morning not only improves your love life, it is also beneficial to your health.
Early morning sex puts a smile on your face... boosts your health, looks and...
Habarini wana MMU,
Nina imani mu buheri wa afya nyote!
In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa...