Ninapomaliza tendo huwa namchukia niliyefanya naye tendo

supe 88

Member
Feb 26, 2020
22
44
Nimekuwa na katabia kahovyo kiujumla na sijui sababu kubwa nizipi mpaka haka kahali kamenipata zaman nikajua labda kuwa na mpenzi mmoja kwa muda mrefu nikasema ngoja nijalibu na kwingine lakini hali ni hivyohivyo basi nikaona isiwe kesi nikawa siwezi kumrudia mpenzi mmoja mara mbili.

sasa mwenye nyumba anataka kunitimua kisa na badili wanawake wanajamvi naombeni ushauli wenu maana hii tabia imenichosha na siipendi natamani niwe kwenye penzi la dhati sipendi kuwaumiza warembo maana nataka nimchague mmoja naye ufurahie kwa kutulia ajione yeye ndio pekee kwenye penzi lake ila ndio tabia hiyo tu inanirudisha nyuma na wao wanavyoona nabadili wanavyonifukuzia kiasi kwamba ndio kidume niko pekee yangu hapa mtaani.

Kumbe mwenzao nina matatizo, msaada wenu na sipendi kuwa hivi ila inaniabidi please

serious
 
Hiyo hali mara chache sana enzi hizo za ku j jaribu mapenzi na uhuni mchache kias kabla ya kusa render kwa Yesu.
Ilinitokea.
Nilipo oa nashangaa sikuwa najutia mara baada ya ku do.
Ilikwisha kabisa.
Nikagundua kumbe hii dhambi ya uzinzi ina majuto ndani yake mara baada ya tendo.
Kinachosukumaga mtu kuzini ni ile tamaa ya kwanza ya macho,ina nguvu kubwa kuliko kawaida
.

Acha uzinzi hutojutia tena.
Wazinzi, Walevi ,wafiraji
Hawaendi mbinguni mdgo wangu.
 
Back
Top Bottom