Nini kinakuogopesha kuingia kwenye ndoa?

Nini kinakuogopesha kuingia kwenye ndoa?

Empiree

Senior Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
102
Reaction score
266
Mimi ninachoogopa nikupangiwa muda wakurudi nyumbani. Nilivyo mzururaji kila mara kulizwa upo wapi .[emoji34][emoji34]

Mara hela ya mboga imeisha, mara nataka hela ya kusuka , mara Lotion imenipausha nataka nyingine..![emoji51][emoji51]
Bora nisioe tu .
 
Dah...Kama una uhakika wa kupata maziwa kila ukiyahitaji...Kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?
 
Kama utaacha kuoa mafanikio utayasikia katika redio tu .
Maisha yako yatabaki hapohapo hautasonga Mbele.
 
Back
Top Bottom