mdau mpya
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 473
- 651
Tukiwa Tunaendelea na sherehe za kumaliza korona nchini, tujadili kidogo hii mada.
Naamini hili ni jukwaa kubwa sana. Una mke na watoto wawili au zaidi {mfano} miaka 2, 4 na 7, ukagundua mkeo amesaliti na ukafanya uchunguzi ukaujua ukweli. Umemuuliza mkeo naye akakili kukusaliti nje ya ndoa na mme wa mtu. Na akakuomba msamaha akilia sana na kukiri kutorudia tena.
Swali kwa waliopitia haya madhira au endapo ukapatwa na hili janga: Je utamsamehe au utamwacha aende zake?.
NB: Haina uhusiano na mtoa mada.