Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 396
- 687
Huu mgogoro unausuruhisha vipi? (Wenye Uzoefu <Hekima na Busara> na pia wanasaikolojia wenzangu))
(Kuna msemo unaosema hivi when trust is broken sorry mean nothing)
Nimepitia kesi nyingi za ndoa kufahamu chanzo cha migogoro hiyo lakini nilichokigundua chanzo kikuu ca migogoro ya ndoa ni Kukosekana kwa uaminifu
Kwa hili kesi aslimia 80 zamigongano hiyo wanaume wanaongoza kucheat wakati wanawake ni 20 tu hasa katika ndoa.
Mazingira ya wanawake kucheat yanatokea mara kwa mara hasa ikitokea kakutana na ex wake waliopotezana muda mrefu.
Kuna case moja imekuwa pasua kichwa sana kuisovu kutokana na msimamo wa Mke mimi namuita iron lady.
Huyu dada ni mzuri na ana akili sana ya maisha aliolewa na jamaa flani wakafanikiwa kupata watoto wawili mmoja miaka 3 na mwingine ana maiaka 5, sifa yake huyu dada ni ana upendo wa kweli sana kwa mume wake, walikutana chuoni baada ya kumaliza masomo wakaoana, huyu dada hakutaka kuajiriwa kajikita sana kwenye biashara baada ya kupata sapoti ya mtaji mdogo kutoka kwa mume wake na familia yake huyo dada.
Kweli biashara imesimama na imekuwa mkombozi sana kwa familia kwa ujumla hata mahali jamaa ameweza kufanya mengi kupitia kipato cha mke wake kutokana na biashara anazoendesha.
jamaa ni mwajiriwa wa kampuni flani na ana maisha mazuri tu ya tabaka la kati lakini na ana cheo Fulani kazini kwake ambapo kuna watu wapo chini yake akiwemo msichana mmoja mrembo sana na msichana huyu alianza onesha interest kwa huyu jamaa, kwahiyo ikatokea siku moja kwenye sherehe za kazini jamaa akawa kalewa na wakawa karibu sana na huyo msichana na hadi wakazini. Bahati mbaya sana kwa starehe ya muda mfupi sana ikamgharimu baada ya mke wake kupata hiyo habari.
Aliposikia na kujihakikishia akaondoka nyumbani pale na watoto akaenda kupanga nyumba akaamua kuanza upya huku akikomaa na biashara zake. Jamaa ikabidi amtafute alie lie sana kwa huyo mdada hapo sana ndio yule dada akaonesha jinsi alivyo ni iron lady “don’t mess with her” kagoma kabisa kurudi na amesimamia msimamo baada jamaa kujaribu kuhitisha ndugu na watu mbalimbali kutatua mgogoro alichofanya yule dada ndio kapelekea kesi mahakamani akitaka waachane kabisa.
Sasa hivi jamaa kakonda na mara kwa mara amekuwa akilalamika anatamani hairudishe familia yake na hataki kabisa kumsumbua tena sababu kadili anavyojaribu mtafuta na hali inazidi kuwa ngumu bora anyamaze ni miaka imezidi kuenda.
Wanaume wenzangu wakati mwingine tujihadhari sana starehe za muda mfupi tu zinaweza kutugharimu sana kupoteza mengi ya thamani.
Hii kesi nipeni nahitaji kusikia wenye uzoefu na matatizo kama haya waliokutana nayo au wameyasikia na kuyatatua na pia wanasaikolojia wenza7ngu mna mchango gani katika hili.
Ili tu hii case ihishe
Na wengine wengi ninahitaji mchango wenu hapo