Wakuu habari za jioni,poleni na kazi kichwa cha habari kinavyojieleza;
■Usimuumize moyo wake kwa namna yoyote ile.
■Usimvunjie heshima kwa kumsema/kumgombeza mbele za watu hasa watu wanao wahusu...
Mwanamke pambo jipambe pendeza vutia angalia hata ule muingiliano ambao unaonesha wawili au wanafamilia wenye kufata mwendo wa maendeleo bila utegemezi kulingana na upeo wa mwanamke au baba wa...
Ingawa siko vizuri kiuchumi, ila nadhani hata nikipata tsh billion 100 sahiv, bado sitaona mke wa kuoa, hizi ndo changamoto ninazokutana Nazo
1) Namtongoza mdada, baada ya cku mbili nagundua huyu...
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli...
Jamani kama mnavyojua mambo ya chuo kuna mtu naona tu ananikera ujue Mimi Nina mastress yangu yani huyu ninayelala nae Dom moja mda wote na kila siku kazi yake kuvaa nguo niwe namthaminisha kama...
Im 27 married man but unhappy and looking for someone who would like the attention of a laid back mature man to have an adult friendship respecting each other and our personal lives as well...
Ilikuwa siku ya jana,jamaa angu fulani ambaye ni baharia alipatwa na mkasa wa kugonganisha wao wanaita kazi yaani mademu wawili tofauti na kilichompata hadi leo hamu hana.
Jamaa alispend night na...
Bila shaka wote mnaendelea vizuri na majukum yenu
Mimi nina taka kujua mapenzi ni nini? Kwasababu nikipata mgegedo baadaye kidogo naanza kujisikia sina amani, roho inauma, hapa kwenye moyo...
Kuna wanandoa wengi hawaungani kindoa ili kuwa mwili mmoja, yaani umoja au ushirikiano wa kimaisha katika familia, bali huunganishwa na sifa au vitu alivyonavyo mtu.
Unaoa au kuolewa na fulani...
Goodmorning.
If you can't fly, Run. If you can't run , walk. If you can't walk, crawl. But by all means KEEP MOVING
You don't always need a plan. Sometimes you just need to breathe, trust, let...
Wanajukwaa natumaini wote wazima wa afya.
Sasa twende kwenye mada husika. Mada hii ni special tu kwa ambao hatuna watoto[emoji23]
Je, kwa zama hizi za science na teknolojia unapenda mtoto wako...
Hello habarini wakuu.
Wasalaam
Ni mekua nashindwa kumwelewa uyu mtoto wa kike kwamba anahitaji nini hasa. Iko hivi wana JF ni takriban mwezi wa pili sasa nipo likizo dodoma baada ya mikasa ya...
Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, halafu wakakukubalia haraka na wakakupa...
Happy fathers day...
Kwa wale mlioa, tunaokaa na wachumba zetu au wapenz zetu kuna mada hii inatuhusu. Eti kuna haja ya kuacha pesa ya matumizi kwa mkeo/mpenzi kama ndani kila kitu kipo? Mfano...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti nimemuona ni bubu nahitaji nimnusuru kwa maana ya kumuoa.
Kuhus mawasiliano nashukuru tunaelewana japo kwa ishara japo ndio hivyo ni mwendo wa...
Natumai hamjambo wakuu.
Wakuu mimi nina kawaida ya kuuza mechi kila napokutana na pisi kali niloielewa kupita kiasi, katika kuuza kwangu mechi mara kadhaa nimekutana na mafundi wakuzungusha uno...
Jitahidi sana kwenye maisha yako uwe na mwanaume/mwanamke wako pale ukitaka kuwa na familia, kamwe usikubali kuambiwa kuwa peke yako unaweza hamna hicho kitu na ndio maana hata kwenye kuumbwa...
Wakuu habari?
Kuna tangazo jipya la mtandao wa TIGO naliona wiki kadhaa sasa likimuonyesha mwanaharakati mmoja akiacha 10,000 kwa mkewe/mpenzi wake na akimuelewesha kuwa ndio kiasi alichonacho...