Mambo ambayo hupaswi kumfanyia mwanamke

Mambo ambayo hupaswi kumfanyia mwanamke

Buntungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
549
Reaction score
310
Wakuu habari za jioni,poleni na kazi kichwa cha habari kinavyojieleza;

■Usimuumize moyo wake kwa namna yoyote ile.
■Usimvunjie heshima kwa kumsema/kumgombeza mbele za watu hasa watu wanao wahusu.
■Usipritend unampenda wakati moyo wako uko mwingine.
■Usithubutu kumtolea kauli kuumiza mf unamwambia wewe mjinga, mpumbavu.
■Usimchukulie kirahisi rahisi(never take her love for granted)yaani wakawaida
■Unasikiliza maneno ya kuambiwa unayaeta ndani kwa hasira unaanza kumpiga unampiga kwa maneno ya kuambiwa.
Maneno ya kuambiwa ni hatari sana kwenye mahusiano yenu.
■Nimewaza kwa sauti, kwanini unaenda na simu bafuni au unaificha ficha ficha. ■Usimfanye ajione hapendwi na anamkosi hapa ulimwenguni.
■Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri, peaneni maneno ya faraja na matumaini.
Sometimes kuna watu wanakuwa hawajielewi wanapokuwa kwenye mahusiano, hajui kumsifia mwenzi wake, hana kauli za mahaba
mwanamke amekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potention, mwanamke ambae hakodolei macho pochi yako, kweli anastahili kuuminzwa na kulia kila siku?
■Huna mda na mwenzi wako mkaa mkapanga mipango yenu, ikapangoka
■Msikilize kwani anakitu cha ziada

Nawatakia mvua njema wakazi wa Dar naona mvua imeanza
 
Ukweli mtupu umeandika, pitia soda kwa mangi nitakuja kulipa.
 
Tulisha fanya haya yote kwa wanawake tulio wapenda.... Ambao tulidhani tuta tengeneza future nao... Mwisho wa siku ni " Disappointments " Tu.

Mpende mwanamke kwa kiasi..
Pole sana Kiongozi
 
Mhhh!! Hivi unawazungumzia wanawake hawa hawa wa toleo hili au wewe in mhenga unazungumzia toleo lililopita?
Mkuu mimi ni muhenga kweli naishi kwenye jamii hii ya hawa mabinti wa kisasa
 
Tulisha fanya haya yote kwa wanawake tulio wapenda.... Ambao tulidhani tuta tengeneza future nao... Mwisho wa siku ni " Disappointments " Tu.

Mpende mwanamke kwa kiasi..
Mkuuu kunawatu wanatabia ya asili hata umfanyeje atakuumiza tuuu,mtu kama huyo atajielewa atakaofikia umri wa miaka 43
Ukimfanyia hayo yote asipo tulia ujue huyooo ni kiruka njia tuuu mpaka siku ya mwisho,
 
Ok! Unajihusisha nao au unawatizama tu na kuwafananisha na wa enzi zako?
Mkuu kujihusisha nao kivipi sijakuelewa hapoo

Ila nimegundua jambo,vijana wanalalamika na mabinti nao wanalalamika sana
 
Back
Top Bottom