Mwanamke ni pambo la nyumba

Mwanamke ni pambo la nyumba

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Mwanamke pambo jipambe pendeza vutia angalia hata ule muingiliano ambao unaonesha wawili au wanafamilia wenye kufata mwendo wa maendeleo bila utegemezi kulingana na upeo wa mwanamke au baba wa familia maana baba kichwa cha familia mama ni muimili wa familia sio lazima familia kubwa au ndogo muda mwingine maamuzi tu ndo yanayoleta tofauti kati ya familia na familia.Familia zingine zina mila na desturi muimu kuzifata tu iwe isiwe sasa apo umakini wa mwanamke unapoonekana baba wa familia na yeye ana nafasi yake maana yeye ni kichwa cha family.

Ndoa inapendeza mtoto wa kwanza awe wa kike kwa ajili ya madiko diko akikua anapikia familia au hata wageni kaka zake wanafanya kazi zingine za kiume mfano kuteka maji kung'oa nyasi nk.
 
Nikimwangalia mke wangu nafuraigi sana
 
Sijui ni hizi balimi kichwani ndio znanifanya nisielewe....
 
Ndoa inapendeza mtoto wa kwanza awe wa kike kwa ajili ya madiko diko akikua anapikia familia au hata wageni kaka zake wanafanya kazi zingine za kiume mfano kuteka maji kung'oa nyasi nk.nitashangaa kukutana na kijana wa
Siku hizi hiyo haipo, kazi za kike ni kubeba mimba tu na za kiume ni kubebesha mimba tu, na zilizobaki zinafanywa na wote(wa kike na wakiume) sidhani kama zina migawanyo.
 
Ulishaambiwa na RC Anna Mgwira kwamba; Wanaume kwa wanawake huwa wanapenda "vipande vipande"---- sasa wewe kwa mkeo unapenda kipande kipi hadi "unafuraigi" sana???[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom