Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Miaka mitano iliyopita nikiwa chuo nilimpenda binti fulani. Nilimweleza azma yangu ya kutaka kumwoa baada ya sisi kuhitimu. But akakataa. Siyo kukataa kwa kawaida, two years ninastruggle kwake but...
5 Reactions
108 Replies
13K Views
Haijalishi una marafiki wangapi na ni mabest kivipi, ila tu jiandae kisaikolojia kuwa pale unapopata mchumba...na mchumba yule akawa mzuri basi maadui huongezeka sana. Binafsi ilinitokea kama...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna wakati unakuwa kama hauamini unatamani hili jambo ulichukulie poa lakini moyoni unashidwa kila ukikaa bado unamuwaza yupo moyoni mwako unatamani penzi lilirudi kama ilivyokuwa mwanzo lakini...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa wale walio kwenye ndoa tafadhali jihadharini na wasimamizi wa ndoa kwa kupeleka malalamiko kwao pale mnapohitilafiana na mwenzio wengi hujidai kutoa ushauri baadae usipokuwa makini huyo...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Kuna kapo ofisin hapa,jamaa ameoa,tena mke wake mrembo vbaya mno,ila jamaa kaanzisha mahusiano na bint hapa ofisin na wanapendana sana,huyu bint anajua jamaa kama kaoa,ila kwa jins bint...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Naomba kuelewesha hapa jamani, ni kweli kuchelewa kumwaga na kuwahi kumwaga yote ni matatizo ya nguvu za kiume? Na wanawake mnaonaje kipi bora kuwahi au kuchelewa? Wataalam njoeni
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinishangaza sana kuhusu mapenzi. Leo nimeamua kidogo niliulize ili swali maana kwangu naliona sio la kawaida. Hivi kwanini mtu ukiwa upo kwenye mahusiano ukimtongoza...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo nimepewa taarifa kutoka kwa mpenzi wangu kuhusu mchizi wangu wa kitambo sana since advance till now ni wana sana kwa kila kitu. Ni mchizi ambaye namwamini sana, siri zangu nyingi anazijua...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Katika uchunguzi wangu yakinifu, umegundua kua watu wanaosema chura/kichuguu/wezere/mkia kwa mwanamke ndio kila kitu sio kweli na wengi wao hua wanafuata mkumbo tuu, wanawake wenye makalio makubwa...
8 Reactions
74 Replies
12K Views
The university campus is an interesting place. You get to meet and interact with different kinds of people. You have to be careful with the kinds of friends you mix up with as the have the ability...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetoka kazini nikajipumzisha na uchovu. Nikasikia kamtu kanalia chumbani. Nikamtuma mwanangu em kaangalie huko kuna nini. Kurudi Ananiambia dada amesema kiuno kinamuuma. Nikamwambia mwambie...
46 Reactions
175 Replies
15K Views
Ni matumaini yangu mko salama. Leo nimefikiria kitu, na nadhani pengine kina ukweli au ni mimi tu ndio naona hivi. Ningepata ukiri wa watu wawili watatu ningeshukuru na kujua kama ni ukweli au...
1 Reactions
5 Replies
972 Views
Huwa nikiamka asubuh kujiandaa kwenda job nawashaga redio na connect bluetooth nasikiliza music huku najiandaa Leo nimesahau kuswitch off redio nikaacha bluetooth on Nipo kazini naona majiran...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, nimekuja kwenye jukwaa ili niombe ushauri nifanyaje tatizo langu ni kila mwanamke ninayemuona natamani kuwa naye. Awe mwembamba au mnene uko bado ndio nishachafua karibia wote, kila...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Ebana kuna ndugu yangu anampenda sana mwanadada fulani lakini kila siku zinavyozidi kwenda mbele amegundua mahusiano yako yapo ICU muda wowote yanaweza kuvunjika. Kila akimcheki mwanamke wake...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Zijue baadhi sababu zinazofanya mwanaume wengi hutoka nje ya ndoa. shida sio uchawi wale wa enjoy hukaa na wanandoa wanaowajua na kuwahadithia weakness za wake ndani ya ndoa. Anapokutana na mumeo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Miezi ya mwanzo kabla ya ndoa huwa mnajifanya mko busy na hampatikani kua mnamajukumu ya familia na sababu kama hizo. Baada ya muda mnaanza kusumbua hamtulii nyumbani kwenu mnatulazimisha kupiga...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi niseme tu kweli sijawahi tumia condom. Nilijaribu tu kuvaa nikaona inabana mashine mpaka mashine inakosa kupumua. Nikavua nikapiga show bila condom Condom ni mpango wa wazungu kutaka wabongo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini wakuu? Leo na swali dogo ningependa kila mtu ajibu kwa ubnafsi wake yeye kama yeye Je, ni sahihi kuoga na mke wako bafu moja nyumba za kupanga? Yaani bafu Public kwa walio panga...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida Na at a point mkaachana kwa sababu mbalimbali either 1. Aliona anakupenda ndio ila huna future 2. Alikuacha tuu kwa ego na tama zake 3. She...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…