Aibu ya mwaka hii

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Huwa nikiamka asubuh kujiandaa kwenda job nawashaga redio na connect bluetooth nasikiliza music huku najiandaa

Leo nimesahau kuswitch off redio nikaacha bluetooth on

Nipo kazini naona majiran zangu wawili wote wananitafuta kila mmoja kwa muda wake wakinambia nizime redio nasumbua na vitu ninavyo angalia mhh nilipata ugumu kuelewa sasa nimerudi muda huu naambiwa huu mkasa lol nimefedheheshwa sana

Kuna mtu ameconnect na bluetooth ya redio yang akawa anaangalia video chafu (porn) nadhan aliona sauti haitok kweny simu yake so alizid kuongeza sauti jmn jmn ninacho shukuru watto wa majiran walikuwa wameenda shule ila dahh nimevaa uso wa mbuzi hapa wachache sana ndo wanajua sikuepo ila wengine sijui wananionaje
 
Kuna watu wakitumaga vitu huwa sometimes nasema ni chai

Ila hiki kilichonitokea nimeamin chai yaweza kuwa uji
 
Hii chai tena chai yenye sikuari nyingi sana, redio gani hiyo unatumia? Mfano home theater huwa uki connect na Bluetooth ukizima simu huwa na yenyewe inakaa dakika kumi hivi inajizima kwenye hiyo mode ya Bluetooth,
 
Sijasema hometheater

Ni sabufa ya kawaida tu ukiiacha kweny mode ya bluetooth inakaa hata week bila kujizima
Hii chai tena chai yenye sikuari nyingi sana, redio gani hiyo unatumia? Mfano home theater huwa uki connect na Bluetooth ukizima simu huwa na yenyewe inakaa dakika kumi hivi inajizima kwenye hiyo mode ya Bluetooth,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimempata mchaw wangu ni jamaa mmoja anafany kaz ya boda boda kunakipind waliwah niazima redio wafany bdayparty huko aliconnect na bluetooth sasa kwa vile kwake na kwangu sio mbali so leo ndo ikatokea hivyo

Alinifata akanieleza kuwa ni yeye ofcoz nimemuelewa issue ni hii aibu tu japo sijal nipo kauzu.
 
Back
Top Bottom