Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

Askarimtu

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
277
185
Haijalishi una marafiki wangapi na ni mabest kivipi, ila tu jiandae kisaikolojia kuwa pale unapopata mchumba...na mchumba yule akawa mzuri basi maadui huongezeka sana.

Binafsi ilinitokea kama miaka 2 hadi 3 iliyopita, na nikawa nachati na maadui zangu bila wao kugundua kuwa wanachati na nani!! Japo kuna kipindi nilijifanyisha kwamba nimewagundua karibuni, nikawatukana sana...kumbe bwana mzee nilikuwa nachati nao kitamboooo!!! Kumjua adui yako kabla hajagundua kuwa unamjua, ni raha sana....chukua nafasi hiyo kumnyonya ubongo wake (kujua mawazo yake mabaya), itakusaidia sana sana siku nyingine!

Pia kumjua adui yako bila pupa inakusaidia kusamehe....acha pupaaaaaaaaaaaa!!!!!! acha pupa usije kufa.....!!!!

Ngoja nikupe mfano kidogo....!
- Utajisikiaje adui yako ambaye unachati nae bila yeye kujua kuwa ni wewe, akasema kuwa :
''huyo jamaa ni mshamba hawezi kukumiliki wewe, mchune tu.....''

Mpaka sasa naendelea kupambana na watu wangu wa karibu, nikagundua kuwa umiliki wa silaha ni hatari kwa afya ya jamii! !!
Ni wengi mno, wengine wameshindwa, wengine hawakati tamaa...

Kitu kinachochukiza ni kwamba wanafiki wanaweza wakakufundisha unafiki......mkikutana huko mnacheeeeka kumbe wanakunafikia na wewe unawanafikia....hatari sana hii!
Ndio maana watu wanapigwa tu na kufa njiani bila sababu, kumbe walitongoza mke wa mtu (au mchumba wa mtu).

Kuweni makini vijana wenzangu....
(japo hata vibaba fulani vimtu vizima vipo hivo....)
 
Mi mpenzi wangu/mchumba angu nili mpata kupitia marafiki...

uzi closed
case ipo sawasawa na mimi, japo kwenye hilo kundi la marafiki niliompatia huyo mchumba, ni mtu mmoja tu ambaye hakuridhika !!! Yaani nilikuja kugundua baadae kuwa wao walishindwa , mimi nikampata. Ila wale mabest friend wa kitambo kwa kitambo ndio hasa naongelea. Ila kwa yote, rafiki ni rafiki tu...
 
pamoja mkuu
 
Iko siku utachat na huyo baharia yeye akitumia simu ya huyo demu. Wewe itakuuma ukijua lakin sahv wewe unafanya unafiki.

Endelea
 
Una mambo flani hivi ya kinafki nafki ya kike kike mi nakuchana mwanangu hata kama utakasirika we jichunguze jifanyie assessment huoni unakwama wapi
 
Iko siku utachat na huyo baharia yeye akitumia simu ya huyo demu. Wewe itakuuma ukijua lakin sahv wewe unafanya unafiki.

Endelea
yaah possibility ipo...ila lengo ni kuonyesha watu jinsi unavyoweza kufa kilaini, kisa kuiba cha watu...!!! Vijana wanajifia ghafla tu tena bila huruma, mojawapo ya sababu ni hii. Unaiba unajiona mjanja...kumbe mwenzio anakuona mjinga. Unakamatwa unang'atwa unakufa.
 
Haijalishi una marafiki wangapi na ni mabest kivipi, ila tu jiandae kisaikolojia kuwa pale unapopata mchumba...na mchumba yule akawa mzuri basi maadui huongezeka sana.

Binafsi ilinitokea kama miaka 2 hadi 3 iliyopita, na nikawa nachati na maadui zangu bila wao kugundua kuwa wanachati na nani!! Japo kuna kipindi nilijifanyisha kwamba nimewagundua karibuni, nikawatukana sana...kumbe bwana mzee nilikuwa nachati nao kitamboooo!!! Kumjua adui yako kabla hajagundua kuwa unamjua, ni raha sana....chukua nafasi hiyo kumnyonya ubongo wake (kujua mawazo yake mabaya), itakusaidia sana sana siku nyingine!

Pia kumjua adui yako bila pupa inakusaidia kusamehe....acha pupaaaaaaaaaaaa!!!!!! acha pupa usije kufa.....!!!!

Ngoja nikupe mfano kidogo....!
- Utajisikiaje adui yako ambaye unachati nae bila yeye kujua kuwa ni wewe, akasema kuwa :
''huyo jamaa ni mshamba hawezi kukumiliki wewe, mchune tu.....''

Mpaka sasa naendelea kupambana na watu wangu wa karibu, nikagundua kuwa umiliki wa silaha ni hatari kwa afya ya jamii! !!
Ni wengi mno, wengine wameshindwa, wengine hawakati tamaa...

Kitu kinachochukiza ni kwamba wanafiki wanaweza wakakufundisha unafiki......mkikutana huko mnacheeeeka kumbe wanakunafikia na wewe unawanafikia....hatari sana hii!
Ndio maana watu wanapigwa tu na kufa njiani bila sababu, kumbe walitongoza mke wa mtu (au mchumba wa mtu).

Kuweni makini vijana wenzangu....
(japo hata vibaba fulani vimtu vizima vipo hivo....)

Mkuu acha nikupe ushauri wa bure.

Unaelekea pengine huna uzoefu wa kutoka na wanawake wazuri. Mkuu wanawake wote wazuri hutongozwa! Tena kila siku, na sio tu na marafiki zako, bali unaweza kukuta hata baba yako, kaka zako, nk nao wanarusha ndoano!

Sasa wewe ukikaa kusoma meseji zake na kuhangaika kujibizana na watu wanaomtongoza, utajikuta hufanyi mambo ya maana maishani na kiukweli utagombana na kila mtu. Na kadri unavyozidi kugombana na watu ndio unazidi kuonekana kituko, mgomvi, mshari na mwisho hata huyo mwanamke nae atakuona huna maana na atakupiga chini!

We relax mkuu, fanya mishe zako, piga mashine fresh, enjoy life na mwanamke wako. Aftaroo kama huyo mwanamke ni mzuri kama unavyosema, mwishoni lazma mtaachana tu kwahiyo huna haja ya kujitia wazimu bila sababu kwa ajili yake.
 
Aisee, achilia mbali mchumba, mimi hata nikijua alitembea na rafiki yangu, na wakaachana siwezi date nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom