Ni nini cha kufanya ukigundua mahusiano yako yapo ICU, muda wowote yatavunjika?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Ebana kuna ndugu yangu anampenda sana mwanadada fulani lakini kila siku zinavyozidi kwenda mbele amegundua mahusiano yako yapo ICU muda wowote yanaweza kuvunjika.

Kila akimcheki mwanamke wake anaona sio yule anamjua wakigombana kidogo mwanamke huleta hoja za kama vipi tuachane, Mara kama umechoka niambie Mara nimeshakuchoka ujue ivi sasa mshikaji yupo stressed sana kapoteza sana furaha yake kabisa nyumba anaiona ya uchungu,

Hapa nilipo ameniomba ushauli ni cha kufanya mahusiano yake yanaelekea ukingoni
 
Maisha yanichanganye sawa maana sina namna zaid ya kuendelea kupmbana.
Na mapenz nayo??!!!! No way..tena sio mke ni just mwanamke tu ?
 
Cha kwanza, jiulize kama unataka huo uhusiano.

Huutaki? Siutaki. Wewe unaweza kukausha ukafanya mambo mengine madogo madogo.

Huutaki? Nautaka. Wewe endelea kusoma.

1: Step ya 1. Muulize mwenzio kama anautaka huo uhusiano.

1:1- Anautaka? Hapana. Make sure you cry. A LOT.

1:2- Anautaka? Ndiyo. You are doing fine.

Now mwambie 'Nautaka pia huu uhusiano, tumeteleza ni kweli ila tupambanie kusimama, tuanze kwa kujengeana uaminifu'

Hapo sasa ndiyo mnakuja kuniona mimi kwa ushauri zaidi na kuwapeleka step 2.
 
  • Thanks
Reactions: Eco
Siku zote usiwe na uhitaji sana na kitu kuliko vile kinavyo kuhitaji.. Ukifanikiwa katika hili at least utaishi kwa Amani kidogo
 
Unapokuwa Na Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Lakini Bado Anadeka Unamzaba Kibao
Halafu Utaona Atakavyolibugia Hilo Yai Haraka. 😀😁😄😃
*******************************************
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Wanawake wote waliojaa duniani hapa bado anapatwa na stress za mwanamke vuta mwengine uendele kula raha za dunia.
 
Mwache kabla hajakuacha,ili iwe rahisi kumsahau ila akikuacha wewe my friend atachelewa sana kufutika katika serikali ya kichwa chako
 
Unapokuwa Na Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Lakini Bado Anadeka Unamzaba Kibao
Halafu Utaona Atakavyolibugia Hilo Yai Haraka.
*******************************************
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Rais kama huyo ni mpuuzi sana
 
Ebana kuna ndugu yangu anampenda sana mwanadada fulani lakini kila siku zinavyozidi kwenda mbele amegundua mahusiano yako yapo ICU muda wowote yanaweza kuvunjika.

Kila akimcheki mwanamke wake anaona sio yule anamjua wakigombana kidogo mwanamke huleta hoja za kama vipi tuachane, Mara kama umechoka niambie Mara nimeshakuchoka ujue ivi sasa mshikaji yupo stressed sana kapoteza sana furaha yake kabisa nyumba anaiona ya uchungu,

Hapa nilipo ameniomba ushauli ni cha kufanya mahusiano yake yanaelekea ukingoni
Apige moyo konde,awahi tu kummwaga fasta kabla ya hajamwagwa...Hana chake hapo
 
Agundue tu kuwa upendo na hisia hazilazimishwi, zinakuja automatically.
 
Ebana kuna ndugu yangu anampenda sana mwanadada fulani lakini kila siku zinavyozidi kwenda mbele amegundua mahusiano yako yapo ICU muda wowote yanaweza kuvunjika.

Kila akimcheki mwanamke wake anaona sio yule anamjua wakigombana kidogo mwanamke huleta hoja za kama vipi tuachane, Mara kama umechoka niambie Mara nimeshakuchoka ujue ivi sasa mshikaji yupo stressed sana kapoteza sana furaha yake kabisa nyumba anaiona ya uchungu,

Hapa nilipo ameniomba ushauli ni cha kufanya mahusiano yake yanaelekea ukingoni
hana furaha sababu ya mwanamke ambae sio hata mke wake??

daah kweli wanaume wengine mna mioyo ya kuchezea sna
 
wake wako wengi lkn siyo km yeye! kuna wengine kimeumuka kwa mbele hiyo tu inamkosha mtu! sasa ukute mwingine imeumuka kwa nyuma aaaaa!
 
Atafute mwingne pamoja na ela

Ivi sas MTU kitu utu badae mkuu

Back
Top Bottom