Kweli tumeadimika wakuu, hii imenishangaza sana

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Kuna kapo ofisin hapa,jamaa ameoa,tena mke wake mrembo vbaya mno,ila jamaa kaanzisha mahusiano na bint hapa ofisin na wanapendana sana,huyu bint anajua jamaa kama kaoa,ila kwa jins bint alivyochanganyikiwa anamweka had status jamaa,picha nin na caption za mapenz kabisa

Jamaa linavaa pete kabisa

Sasa najiuliza huyu bint ni vip.nikwamba anapambana sana na hali yake ama nin

Huyu bint toka nmemfaham ,ni yuko desperate sana na kuolewa,kuna kipind mwanzon ilibak kdogo nimlambe ila bahat mbaya nilikua namlamba bint mwingne hapahapa ofisin kwahyo nikaona nipotezee ila alishafika had kwangu..sikumla lakin

Sasa najiuliza nikwamba wanaume tumeadimika sana ama nin

Uzi tayar
 
Mkuu,mi papuch ninazichakata kias kwamba kuna mda naona nipumzike kdogo,naweza lala na dem na wala nisishtuke

Papuch sio ishu kwangu skuhiz mkuu..ilikua zaman sekondar na chuo huko
.

Alifika hadi kwako na hukumlamba kweli wanaume tunaadimika..
Binti ana haki ya kujipenzisha kwa huyo jamaa
 
Wanaume wengi ni puchu kama 60% hivyo mambo hawawezi vizur na kutongoza ni mzozo ikiwemo na mimi.

10% ni mashoga na element za ushoga

15% ni wagonjwa na shida mbali mbali kimfumo wa uzalishaji

12% stress za maisha na ugum wa kipato wanashindwa kudinya

3% ndio hao wapigaji wa maana sasa
 
Ujinga ujinga tu
Kuna kapo ofisin hapa,jamaa ameoa,tena mke wake mrembo vbaya mno,ila jamaa kaanzisha mahusiano na bint hapa ofisin na wanapendana sana,huyu bint anajua jamaa kama kaoa,ila kwa jins bint alivyochanganyikiwa anamweka had status jamaa,picha nin na caption za mapenz kabisa

Jamaa linavaa pete kabisa

Sasa najiuliza huyu bint ni vip.nikwamba anapambana sana na hali yake ama nin

Huyu bint toka nmemfaham ,ni yuko desperate sana na kuolewa,kuna kipind mwanzon ilibak kdogo nimlambe ila bahat mbaya nilikua namlamba bint mwingne hapahapa ofisin kwahyo nikaona nipotezee ila alishafika had kwangu..sikumla lakin

Sasa najiuliza nikwamba wanaume tumeadimika sana ama nin

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom