Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,742
- 10,753
Ni matumaini yangu mko salama.
Leo nimefikiria kitu, na nadhani pengine kina ukweli au ni mimi tu ndio naona hivi. Ningepata ukiri wa watu wawili watatu ningeshukuru na kujua kama ni ukweli au lah.
Ni hivi:
Mimi nadhani jinsi mwanamme/mwanamke anavyokuwa na mapenzi na wanawake/wanaume wengi ndio jinsi inakuwa ngumu kwake kutulia na mpenzi mmoja.
Kwasababu anajua Package gani ya mapenzi yeye anaitaka/kuifurahia na huwa anaitafuta iwe kwa mtu mmoja , na kwa kuwa mtu huwezi jua mwenzako anataka nini na nini /ana package gani na gani basi unakuta kuna Vile vipande vipande (RC Mangwila alivyosema) huwezi kukuta kwa mtu mmoja na unaweza kukuta ana kipande kimoja na kingine hakakosa.
Na ndio Maana Sisi Wanaume, na hasa waliopita na wanawake weng hawawezi tulia na mmoja. Na wanawake waliopita na wanaume wengi hawawez tulia na mmoja.
Ni bahati sana kukuta mwanamke/mwanaume mmoja ana vipande vipande vyote. (Wakati huo unajua maana ya vipande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]).
Au ni mm tu ndio nawaza hivi.
Anyway mimi nimetulia. Hivyo vipande sina hata shida navyo.