Ushauri wenu kuhusu tabia hii yangu

kijana255

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
277
257
Habari wakuu, nimekuja kwenye jukwaa ili niombe ushauri nifanyaje tatizo langu ni kila mwanamke ninayemuona natamani kuwa naye. Awe mwembamba au mnene uko bado ndio nishachafua karibia wote, kila nikisema huyu wa mwisho nakaa kidogo siku mbili napiga mwingine tena.

Yaani magesti yote wananijua, nataka niache nashindwa.

Ushauri wakuu
 
Kila kitu ni nia na dhamira ya kweli.
Ila ujue kushindana na nguvu ya tamaa za mwili unaowaka mapenzi, huwezi peke yako.

Sikuwahi kufikiria Baharia kama mimi ningekaa miezi kadhaa bila kufanya mapenzi; ikiwa tu wiki moja nilikuwa najiona niko ICU.

Fanya maamuzi tu.
 
Kila kitu ni nia na dhamira ya kweli.
Ila ujue kushindana na nguvu ya tamaa za mwili unaowaka mapenzi, huwezi peke yako.

Sikuwahi kufikiria Baharia kama mimi ningekaa miezi kadhaa bila kufanya mapenzi; ikiwa tu wiki moja nilikuwa najiona niko ICU.

Fanya maamuzi tu.
mzee ulifanyaje nambie unitoe uku na mie
 
Ndio maana wazungu wametengeneza REHAB za waliothirika na ngono, si rahisi kuacha ila wengi huwa wanajisogeza sana kwa Mungu kupitia dini zao na wanafanikiwa
 
mzee ulifanyaje nambie unitoe uku na mie

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa Mtumwa wa Bwana, Mungu wangu.

Ibada sana, kufunga na maombi ya muda mrefu tena kwa machozi.
Yaani kila siku za ibada sijawahi kukosa, muda wote nawaza Kanisani tu.
Hata nyimbo nimekuwa mtu wa gospel songs tu.

Hata nikitoka job, kama ni siku ya ibada napitiliza kabisa Church, sipiti geto.
Then, nimeacha kwenda viwanjani.

Nikishafika geto tu, sitoki kabisa.
 
Ikiwa umebaini kuwa tabia hiyo ni mbaya na ni chukizo hata ndani ya nafsi yako ni hatua kubwa kuelekea kuiacha. Ipo nguvu chanya ambayo unatakiwa kuizalisha ili ipambane na huo msukumo wa kizinzi ambao tunaweza kwa sasa kuuita hasi. Ikikupendeza ni pm kuna jambo nitakusaidia uondokane na kadhia hiyo.
 
Back
Top Bottom