Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,190
- 38,578
Zijue baadhi sababu zinazofanya mwanaume wengi hutoka nje ya ndoa. shida sio uchawi wale wa enjoy hukaa na wanandoa wanaowajua na kuwahadithia weakness za wake ndani ya ndoa. Anapokutana na mumeo anahisi kalogwa unaona kila jambao analofanya geni la hasha gafla anakuhadithia ambayk mkw afanyi.
1. Hatakifanywa marakwamara
2. Hataki kuguswa sehemu za titi
3. Wengine hufikia hata kuema usinikojo* ndani leo na mengineyo
Ushauri wangu mpende kukaa na mabinti wasioolewa mjue wanawafanyia nini kipya waume zenu, same thing ukifanya utamwona mwanaume saa moja nyumbani. Unawaza waliokupa maji ya rangi ati mumeo akioga atabadilika. Anyway tutaendelea kesho zaidi
Ndoa ni kushibishana kupeana yale ambayo mwenzio anayo we huna nk