Sitaki nataka inawaponza wadada wengi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Kwenu wadada, ukishajua mwanaume unamtaka akikutongoza usilete mambo ya sitaki nataka coz sie wengine hatujuagi kutongoza kwa kubembeleza.

Wiki ilopita nilimtongoza mrembo fulani ambae ni rafikie dada mmoja tunaefahamiana, alinambia haiwezekani nami nikampotezea sikumtafuta tena.

Sasa jana nimekutana na huyo dada ninaefahamiana nae akaniuliza, mbona fulani analalamika umemchunia? nikamwambia alisema haiwezekani nikaona isiwe tabu, akanambia hapana alisema hivo ili usimuone mrahisi, nikamwambia basi ntamtafuta.

Wenye tabia hii nadhani ujumbe umefika.
 
Ulivyo kitumbua ndo umekuja kuanzisha na uzi huku!!
Hao ndivyo walivyo mkuu wazoee haiwezekani wakubali tu kirahisi kama wale wa kuuliza una shingapi..😅
 
Ni kweli wanawake wengi hawajielew pia hawajiamin,,ndio maana unapomtongoza hawez kukubal au kukataa moja kwa moja,,kiufup anategesha ili aone WAP kuna fursa
dhana yao kubwa inayowafanya wasikubali haraka eti hudhani wataonekana malaya
 
Sasa unakubalije mara moja, kama alikuwa anatania je? Bahati mbaya baharia hawezi kusema nilikuwa natania
 
Back
Top Bottom