Umeshawahi kuingia magetoni na mwanaume/mwanamke na ikashindikana kukwichikwichi?

Aug 30, 2018
89
88
Salaam wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Kwa upande wangu visa ni vingi ila kimoja iliikuwa hivi: Mwaka 2011 nikiwa naelekea chuo gari yetu ilipata ajali baada ya mahangaiko ya hapa na pale likapita Lori wakatusaidia na kutupa ruhusa ya anayetaka aingie ili tufikishwe kijiji cha mbele maana pale kwenye Ajali palikuwa porini.

Baadhi tukaingia na Mimi kwa kuwa nilikuwa msichana dereva alinipa nafasi ya upendeleo kukaa mbele kwa dereva,Pole nilikuwa nyingi na care ya hali ya huu.

Tumefika pale kijijini watu wakajitawanya dereva wa lori akaniambia tulia nikaangalie chumba pale lodge, aliporudi barabarani akaniambia tende nikamfuata tumeingia akaniambia nimepata chumba kimoja tu na lodge imejaa, kwa kuwa ni usiku ,ugenini nikawa sina namna ila moyoni nikatia nia kwamba hapa sitoi K.

Tukaoga kwa zamu ,nikavaa jeans t shirt na gani juu nikalala miguuni kwake.

Namshukuru Mungu hakunisumbua sana na hivi alikuwa Mchaga tena dereva wa lori alikoroma tu usiku kucha ,Asubuhi mapema aliniwahisha stendi nikapanda basi kuelekea chuo. Alinipa pia namba na akawa ananitumia miamala midogomidogo hadi aliponipotezea mazima. Karibuni kushare visa ni vingi.
 
Back
Top Bottom