Wife material & husband material wanapatikana hivi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Leo nimependa kushare nanyi jinsi ya kumpata wife material and husband material, ikiwa upo kwenye prosses ya kuoa/kuolewa basi tumia njia hii kumpata mwenza sahih...

1: MJUE KAMA ANAFIT MFUMO WA MAISHA YAKO.
After mtongozo mweleze we ni mtu wa aina gani na unahitaji mtu wa aina gani, baada ya kuelezana na kila mtu akaridhia maelezo ya mwenzake unaenda stage ya pili.

2: KUJIRIDHISHA
Huu ni muda wa matazamio ya kujiridhisha kua je ni mtu wa aina ile alonambia au anazuga? hapa utaweka mitego ya kila aina ili upate kujiridhisha zaidi.

3: MAAMUZI
Hii ni hatua ya mwisho kabisa ambayo itakupatia jibu kama mwenza anafaa ili umkaribishe maishani mwako au kama hafai umtupilie mbali.
 
Girlz are gud pretenders. Follow those stapes you might end up regretting
 
Sina utaalamu sana na mambo ya mapenzi na uhusiano lakini nina uhakika, kama ukikutana na mtu sahihi utajua tu yani sema na moyo wako utafahamu tu, especially ukianza kuwa nae karibu. All the best
 
Mkuu hii formula yako ni sahihi kwenye swali lako, sio letu
Huu mtihani, kila mtu anapepa lake japo somo ni moja
 
Kuna mambo mawili TABIA (Character) na MWENENDO (Behaviour) ni muhimu kuyatambua kabla ya kuingia kwenye ndoa na MTU.

Character haiwez kubadilika

Behaviour hii ubadilika

 
Back
Top Bottom