Je, unahisi kwanini unaendelea kuteseka juu ya Ex wako?

Dr Sai

Member
Oct 2, 2019
41
52
Hi everybody,

Hope mnaimalizia weekend yenu, poa kabisa.

Hakika wapo watu wanaoendelea kuteseka kihisia, juu ya wenza wao ambao tayari walisha achana. Almaarufu kama X

Sasa nami nikaona, sio vibaya kama nikaja na msaada wa kumkomboa yule aliyopo kwenye scenario ya namna hiyo. Ila awali ya yote, nimekuja na swali linalosema:-

"...UNAHISI NI KWANINI, UNAENDELEA KUUMIA JUU YA X WAKO?...."

Note:
"Kongea kwako ndio ufunguo wa kukutoa, kwenye hiko kifungo cha MATESO YA KIHISIA".

You're welcome.
 
Kama ilichukua muda kumpenda na kumkubali mtu, hvyo hvyo itakavyokuwa kwenye kuachana nae na kumsahau. It's a process. So inachukua muda, baada ya muda mtu unasahau tu, ndo binadamu tulivyoumbwa
Good.

Ila unajua kwamba, wapo watu waliokata hata miaka mitatu tangu waachane na X wao, but still wanakumbwa na hiyo hali.

Je nayo ni part of process ya kumove on?.
 
Nina Mwaka tangu tuachane (Niliachwa) na yule dada.Niliumia mno na hatimaye niliweza ku move on.Nilipata mwanamke mwingine ambaye tuko naye mpka sasa..na tuna mahusiano mazuri mnoo.Ila cha ajabu hazipiti siku mbili bila kumkumbuka yule X.Sio kwa maana ya kumuhitaji tena ila ni lazima nimkumbuke! Naichukia mnoo hyo hali but no way
 
Kama umkumbuki kwa purpose ya kurudiana naye, mpaka hapo upo sehemu salama!

Keep going chief...
 
Back
Top Bottom