Msaada: Binti wa kisomali anitoa roho

Dr Count Capone

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,875
3,234
y

images-19.jpeg
 
Upo chuoni kusoma, tambua kilichokupeleka hapo, Huu ndo msaada wangu Kwako! MAPENZI ni B, unatakiwa uulize mambo ya msingi....

Watu ambao mnauliza kuhusu MAPENZI kwa kweli mnatakiwa msiyape kipaumbele, sio fungu lenu! Haya nenda discussion!

Kwa sababu unauliza una kosa skills za muhimu sana, ukiyaanza hautawezana! Usije kutuulia msomali wetu!

Msimshauri huyu sio Baharia!
 
Mkuu kuhusu masomo sina tatizo ndio maana sijaja na tatizo lihusulo masomo
By the way Shukran!
 
Back
Top Bottom