Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui amejisikiaje huyu Ex wangu huko aliko maana naona kama ananisumbua tu kunitumia tumia text anaonesha dalili kama bado ananipenda lakini ananichatisha chatisha tu kimahaba sometimes nakuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanamke ambaye ndio kwanza mmekutana lakini hana complain kabisa, kila kitu kwake ni yes yes. Yaani unachukua Namba mchana unatongoza na jioni unabutua, bila gharama wala kizinga cha aina yeyote...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeshazichakata kwa kiwango chake, kwa kila mbinu na kwa kila pesa yaani kitambo kile nikiona papuchi tu lazima ichakatwe ata kama kwa gharama yoyote ile nilikuwa sichomoi ila kwa sasa aisee...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uswahilini mnakokukimbia ni wapi? Inawezekekana mnakimbia kushirikiana jiko, choo na bafu kwanye nyumba ya kupanga lakini hata Manzese, Mbagala, Mwananyamala kwa Kopa Kinondoni Shamba kuna nyumba...
12 Reactions
44 Replies
6K Views
Imezoeleka mtoto au ndugu wakikoseana au ukifanya mambo ya hovyo kuitana na kuwekana sawa kulingana ni rika za wahusika. Nimetakiwa nimweleze kaka yangu ambaye amenizidi umri niongee naye jinsi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Ushauri jaman,natamani kuishi bachela kwa sababu nahisi wife ananirudisha nyuma kimaendeleo na ananipa stress tu,lkn kinachonipa tabu ni mtoto tuliemzaa kwa sasa ana 3yrs najiuliza nianzaje ili...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Kumekucha wakuu! Kuna hii kitu huwa nafanya afu baadae naanza kujuta,unakuta naanzisha mahusihano na mwanamke siku ya kwanza kwenye mgegedo hua niko makini na huwa sikubali kabisa kwenda dry na...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Mademu kibao wametoa mimba zetu pasipo ridhaa zetu ila tumewasamehe na kumuachia Mungu yeye ndio mtoa hukumu. Msichana mwengine Unamueleza vizuri kuwa una mke na una watoto, yeye ni mchepuko tu...
11 Reactions
53 Replies
5K Views
Aisee hii kazi ya kulea kwa wanaume hapana, wacha niwapongeze tu wanawake. Hii kazi ni ngumu. Mnaodai mnazalisha kisha mnalea naanza kuamini ni chai ya tangawizi kabisa! Labda kama unamchukua...
23 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana niliyefikisha umri wa kuoa nina 27 kwa sasa, ni kwamba familia na jamii inayonizunguka naona wananisisitiza sana nioe eti kwakuwa nina kazi nzuri na ninajimudu...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Dada mmoja alifiwa na mume wake kwenye ajali yapata mwaka sasa ni mzuri wa kila kitu nikajua mwaka hautaisha ataolewa so nna mishe zangu around anapoishi and simply ni mteja wangu since then...
11 Reactions
85 Replies
10K Views
  • Closed
Tafiti zinasema kua akili ya mwanamke ipo faster mara 10 zaidi ya akili ya mwanaume ndio maana anaweza kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja in smart way, kwa hali hiyo kama mwanamke akiamua kufanya...
7 Reactions
342 Replies
19K Views
MTAJUTAN KUKIMBIA SOMO LA ENGLISH WHY HUSBANDS CHEAT AND POSSIBLE SOLUTIONS.🤔🤔 First of all I want our orientation and perception on some things to change so you can understand what I'm about to...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu! Leo ninawaasa vijana kwa namna hii hapo, sina dhamira ya kukejeli mama zetu wala sio kwa jicho la matamanio (dhambi kubwa). Ni katika kuwaza tu. Jiulize ni kwamba zile ‘shape’ zilikuwepo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mida Wakuu Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, iwe pamoja nami. Nimekuta hii hoja wanaijadili kijiweni sana nikaona niilete nami humu JF ili tujadiliane kwa ufasaha hasa. Mwanaume kama...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri wazi kuwa mimi si mdau wa wanawake wafanyakazi kama madoctor, walimu, manurse etc. Mimi ni mdau wa housewife tu. Kwasababu...
9 Reactions
85 Replies
9K Views
Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati. Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo...
23 Reactions
55 Replies
7K Views
Ni ushauri kwa vijana wenzangu wanaofikiria kuoa.Kumbuka mwanamke huwa sio rahisi kumsahau mtu aliyewahi kushiriki naye tendo la ndoa. Hivyo akikutana na mtu aliyewahi kushiriki naye tendo. Ni...
8 Reactions
126 Replies
14K Views
  • Closed
Wakuu nawasalimu kwa masikitiko makubwa naomba mnionee huruma. Show ilianza hivi ngoja nifute machozi kwanza yaani kuna demu nilikuwa namfukuzia muda sana. Bahati nzuri juzi akanipa matumaini...
7 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari za leo ndugu zangu, Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi. Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…