Binti huyu kanikataa sababu ya shati la kitenge

Status
Not open for further replies.

April26

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
1,403
2,118
Wakuu nawasalimu kwa masikitiko makubwa naomba mnionee huruma. Show ilianza hivi ngoja nifute machozi kwanza yaani kuna demu nilikuwa namfukuzia muda sana. Bahati nzuri juzi akanipa matumaini yaani ikatiki vema yani very good kama zile tulipewa nyakati za primary.

Sasa kimbwanga bhana kimetokea leo mida ya saa 4 za asubuhi wakati nakutana nae nikiwa naenda zangu job, mtoko wa leo umenichawia. Yani shati nililovaa leo limeniwekea kauzibe, kwanza alivoniaona akashtuka sura ikasinyaa kama kasikia harufu mbaya, nikajikenulisha meno kumchekea wakati sijajua ninevaa mchawi, kabla ya salamu akanambia kumbe una mwingine hadi umeshona nae nguo (vitenge)

Daaahh nimejaribu kumwelewesha lakini wapi. Nikasepa zangu job bila amani. Nishapiga sana simu hazipokelewi wakuu.

Mtoto mbichi kanimwaga kisa shati la kitenge. Hivi ni kosa langu au katafuta sababu?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mkuu mi ninalo lkn ndo linanipa ujiko sasa.. sio ke sio me wote wanalipenda nikilivaa lazima waseme kitu..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wacha weeeee,,, kesho naenda kununua kitenge nashonesha kama Nigeria full juu mpaka chini nile ujiko mtaani ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
We huyo alikuwa anatafuta sababu tu ili akuone.

Fanya hivi pata kumsumbua kidogo tena hakikisha Kama utaweza mfanyie kakitu fulani hivi ambako katamfikirisha then akishikiria msimamo wake.. we chakufanya kuwa kama hutaki tena! Show normal But don't tell her you just chill punguza harakati nae salamu mpe ila isiyo na uchangamfu kama wa awali..

Sasa Hilo pandikizi uliloliacha kwake lenyewe litakuwa linakufanyia hiyo kazi nyengine litakuwa dukuduku kwake.. we muonyeshe ukawaida kabisa be gentleman.. kuwa mvumilivu tu ndege atakufuata mwenyewe.. mengine utajiongeza Mr kitenge..๐Ÿ˜œ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wacha weeeee,,, kesho naenda kununua kitenge nashonesha kama Nigeria full juu mpaka chini nile ujiko mtaani ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Ukikosea mshono na material baba imekuka kwako.. mi mwenyewe sikujichagulia wenye dada zetu wanaojua vitenge tunaringa..๐Ÿ˜œ
We kayachanganye Sasa kama hujakichoma Moto..

Usimuulizie dada yangu.. tulia hivyohivyo komamanga weye..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ukikosea mshono na material baba imekuka kwako.. mi mwenyewe sikujichagulia wenye dada zetu wanaojua vitenge tunaringa..๐Ÿ˜œ
We kayachanganye Sasa kama hujakichoma Moto..

Usimuulizie dada yangu.. tulia hivyohivyo komamanga weye..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom