Sijui amejisikiaje huyu Ex wangu huko aliko maana naona kama ananisumbua tu kunitumia tumia text anaonesha dalili kama bado ananipenda lakini ananichatisha chatisha tu kimahaba sometimes nakuwa kama simwelewi saizi text zake nazisoma tu naziacha hata simjibu la kunifikilia anifikilie tu