NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 614
- 831
Habari za asubuhi wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikiri wazi kuwa mimi si mdau wa wanawake wafanyakazi kama madoctor, walimu, manurse etc. Mimi ni mdau wa housewife tu.
Kwasababu nilizaliwa na kulelewa hivyo na Mama yangu wa Nyumbani. Na nikaona ni maisha poa sana sababu ukirudi Home kutoka shule unamkuta Mama yupo anakupokea na chakula kipo ready unafurahia siku
Sasa mwezi uliopita nilikutana na mdada ambaye ni mfanyakazi. Taratibu akaanza kubadilisha fikra zangu na nikaona kumbe wafanyakazi wako poa kuliko housewives.
Ebwana eee nina mwezi hapa ila ninayoyaona ni kama nataka nikaishi motoni ni hatari sana mwanzoni nilianza kumuelewa ila sasa simuelewi kabisa
Unaweza kumpigia simu asipokee baadaye anakuambia eti alikuwa ananipima unajiuliza unapimwa vipi?
Mama wa nyumbani wako poa sana hawana maswali ya kijinga
Hivi wakuu mnawezaje kuishi na wanawake wafanyakazi?