Wanaume wa JamiiForums mnalialia sana na mapenzi, nini tatizo?

kitiji

Member
Jun 28, 2018
68
55
Habari wanajukwaa

Kwenye kikao cha baharia kilichofanyika hapo nyuma kidogo kimeona kuna shida kwa wanaume wa sasa wa JF Jukwaa la MMU, kuwa wanalalamika sana kwenye suala la mapenzi na kuchakata nyapu za wadada uko mtaani na hata humu JF.

Imeonekana wanaume wa sasa wa JF kwenye jukwaa pendwa la Mmu wanalalama sana kuachika, kunyimwa nyapu, kukimbiwa/ kuchoropoka kwa mpenzi, kupigwa kibuti (negative impact mtongozo) mwanaume anafika mbali zaidi kwa kulialia eti ana mwaka wa tatu anapiga misele kwa msichana anaempenda daah!

"MAPENZI HAYANA KOMANDO" huu ndo usemi wao wakujitetea unaotumiwa na wamaume wa sasa wa jf daah!!!
mabaharia wamesikitishwa sana na mambo hayo tajwa hapa juu na wamenituma kama muwakilishi kuuliza tatizo gani limewakumba wanaume wa sasa wa JF?

zingatieni haya;
mwanaume aachwi anaacha
mwanume amsubiri demu kwa miaka mitatu, utapiga puli sana
mwanaume hanyimwi kitumbua, vipo vingi (vyakuungua, vyamoyo, vya mafuta, vilaini..,) utakula na hutavimaliza
mwanaume akimbiwii anakimbiliwa tulia na wewe una dudu ilo wanalitaka

sina time yakufokena!
 
Tatizo letu vijana tunajarabu kufananisha imaginative na uhalisia kumbe mambo no tafauti kwa ground harafu kingine sisi wanaume Wa sasa huwa tunaonyesha uzaifu wetu wazi sana kwa haya tuendele kupeana pole kila itwayo leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom